Namshauri Kocha wa Taifa Stars atafute mlinda mlango mwingine badala ya Manula

Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani anafanya makosa,anaishi kwa mazoea baada ya kukosa mpinzani.
 
Ajabu mtu hata timu daraja la 3 hawekwi Benchi hi leo anasema Manula hafai !
Wekeni Bashite basi.
 
Manula mfupi???
 
Ukisoma huu uzi fasta fasta unaweza fikiri akitolewa Manula basi tutaenda Russia mwakani.
 
Manula ni golikipa mzuri saana amejionesha hilo akiwa na kikosi cha Azam FC na maisha ya ujumla kule Azam.

Tujiulize maisha yake mapya ni sawa sawa na alikotoka ? Watu wanaomsimamia ni watu sahihi kweli?

Hata Mimi sishangazwi na goli lile la Jana na Malawi ? Kinachonishangaza ni magoli rahisi anayofungwa siku za hivi karibuni?

Au tuseme naye AMECHOKA?
 
Ni ujinga tu, ni mchezaji yupi wa stars alionyesha kiwango? Timu bovu kabisa. Manula angekua mbovu kwa kiwango cha wachezaji wa ndani tungepigwa tano leo
 
 
Goli alizofungwa na Mbao ilikuwa sababu tosha kumpa nafasi mwingine mechi hii
 
Mkuu wewe ni golikipa?? Mwambie kocha akuteue uwe golikipa wa stars!!


Au la tafuta kwenye ukoo wenu golikipa!
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…