assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Kwanini usiishauri Kwanza tume ifate kanuni ilizo kiwekea? Tena ni kanuni hizo hizo tume iliaminisha watu kuwa imetumia kuengua wagombea was upinzani.
Lasna za watanzaniaNini kinasababisha magufuli apumzike mara kwa mara ?
Na akipumzika anataka kila mgombea apumzike kama yeye.Nini kinasababisha magufuli apumzike mara kwa mara ?
Mabeberu! we unafikir watakuepo muda huoo???Ni Mimi,Dada ako,mama ako,wewe na wengine.Ukimuona kifaranga kajaa chungu ujuwe kunamamayake lisu limama lake nilikubwa kama tembo sisi tutulie ukombozi umekaribia labda
Nashauri aende Moshi au Arusha mambo yakuwa bambamBora afanye kampeni na wajaribu kumzuia ili dunia ione na ikusanye vizuri ushahidi juu ya hawa wauaji na watu wenye roho mbaya
Ingawa hili tu la kumzuia kufanya kampeni kwa siku 7 ni ushahidi tosha
Wewe nani atakusikiliza? Si ulisema Lissu hatorudi na kama akirudi ataufyata na hatoweza kuongea wala kufanya chochote????Angalau wewe unanaoneka una mapenzi ya kweli, wengine wanamtumtumia tundu kama msukulule tu, lkn mwisho wa siku hawajali chochote kuhusu tundu, ...
Magufuli anazidi kutuonesha jinsi alivyo mnyenyekevuNa akipumzika anataka kila mgombea apumzike kama yeye.
Hapana, asimame ili joto lipoe? No way, Uchaguzi hauwezi kuendeshwa kwa maelekezo ya Magufuli, No wayNakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona..
Busara gani itumike kama mtu ana kesi mahakamani na ameruhusiwa kugombea tena urais?Mimi nashauri Mamlaka zinazohusika na mchakato wa Uchaguzi Mkuu, 2020 zitumie busara katika utekelezaji wa MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2020(Chini ya Kifungu cha 124.A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343)...
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Nasema kama Lissu ameamua liwalo na liwe tuko nyuma yakeBusara gani itumike kama mtu ana kesi mahakamani na ameruhusiwa kugombea tena urais?
Busara gani kama baadhi ya wagombea wanakashfu wenzao lakini wameachwa huru na kuendelea na kampeni?
Busara gani kama baadhi ya wagombea wanaua lakini upande wa pili wamekaa kimya?
Tuache ujinga wa kutaka kuheshimiwa halafu kuheahimu wengine hutaki.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app