Uchaguzi 2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

Uchaguzi 2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

Mkuu siku 7 nje ya kampeni ni siku nyingi sana hasa ukitilia maanani kwamba Nchi yetu ni kubwa na hizi ni dakika za lala salama. Achanje mbuga tu.
Njoo umsaidie kuchanja mbuga!! Wewe umekaa huko kwa mabeberu unataka wenzako wapigwe mabomu wavunjwe miguu wewe uendelee kubeba mabox tu au?
 
Kwanini usiishauri Kwanza tume ifate kanuni ilizo kiwekea? Tena ni kanuni hizo hizo tume iliaminisha watu kuwa imetumia kuengua wagombea was upinzani.
Wanaweza wakamfuta mazima chadema ikakosa mgombea kabisa
 
Bora afanye kampeni na wajaribu kumzuia ili dunia ione na ikusanye vizuri ushahidi juu ya hawa wauaji na watu wenye roho mbaya

Ingawa hili tu la kumzuia kufanya kampeni kwa siku 7 ni ushahidi tosha
Wakimfuta kqbisa je?
 
Busara gani itumike kama mtu ana kesi mahakamani na ameruhusiwa kugombea tena urais?

Busara gani kama baadhi ya wagombea wanakashfu wenzao lakini wameachwa huru na kuendelea na kampeni?

Busara gani kama baadhi ya wagombea wanaua lakini upande wa pili wamekaa kimya?

Tuache ujinga wa kutaka kuheshimiwa halafu kuheahimu wengine hutaki.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Je, Lisu akikaidi hatofutwa ?
 
Lissu mwepesi tu halafu muoga kama kunguru. Ndiyo mikutano yake yote anafanyia nyumbani kwake.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Hivi unaweza kuwa na refarii, makamisaa, washika vibendera na bado ukahofia timu yako kupoteza mechi. Hii kali kuliko kweli kocha kashikwa pabaya!
 
Wakimfuta kqbisa je?
Hapo ndo patamu zaidi!! Hakuna mtanzania atakayekubali hilo. Na kabla ya uchaguzi tu Chadema watuhamasishe tuingie mtaani.
CCM HAKUNA KUCHEKA NAO. UKICHEKA NAO UNAVUNA MABUA KWELI.

MWAKA HUU LAZIMA KIELEWEKE
 
Lkn Nina hofu na utekelezaji wa hilo la kuingia barabarani. Mabeyo atawatuma vijana wake kufanya usafi mitaani.
 
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.

Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.

Kila mtu anaona injustice inayotokea.

Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Atakaloamua lissu yeye mwenyewe ndio litakuwa Sahihi. Alipigwa Risasi kwakuwa alishaonekana kuw akitisho cha uchaguzi. So kwa maumivu aliyopata sitegemei atafanya maamuzi ambayo sio sahihi kwake.

"Lolote atakalo sema Lissu fanyeni'
😅😅wainjilisti tumeelewana
 
Lkn Nina hofu na utekelezaji wa hilo la kuingia barabarani. Mabeyo atawatuma vijana wake kuyafanya usafi mitaani.
Nakwambia hakuna mwanajeshi anaejielewa atakaechukua orders za mabeyo!!!

Uzuri wa mwaka huu uchaguzi huu unaangaliwa sana na pande zote za dunia, lolote watakalofanya wajiandae kwa matokeo mazito kutoka kwa wakubwa wa dunia.

Usichukulie kiwepesi kujadilUWA kwenye bunge la marekani huku wakitoa statement kuwa yeyote atakayehusika na kukandamiza demokrasia au kuharibu uchaguzi watamwajibisha kwa matendo yake!!!

Mwaka huu ni wa maamuzi mazito. It’s now or never.
 
Busara gani itumike kama mtu ana kesi mahakamani na ameruhusiwa kugombea tena urais?

Busara gani kama baadhi ya wagombea wanakashfu wenzao lakini wameachwa huru na kuendelea na kampeni?

Busara gani kama baadhi ya wagombea wanaua lakini upande wa pili wamekaa kimya?

Tuache ujinga wa kutaka kuheshimiwa halafu kuheahimu wengine hutaki.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wana agenda yao, wanahitaji huruma ya wananchi, wanahitaji matamko ya mabepari lakini mwisho wa yote no tarehe 28 Oktoba.
Ipo siku pamoja na jeuri, dharau, kejeli na kadhalika mavuno yake watayaona. Siasa si chuki, siasa ni ushawishi, uuzaji wa mipango si kumtukana mtu, kukejeli, na kuongea vitu vya uongo na uchonganishi. Hizi si zama za ujima ambazo wananchi walikuwa hawaelewi, kwa sasa si wa nasikia tu bali pia wanaona.
 
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.

Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.

Kila mtu anaona injustice inayotokea.

Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Nakubaliana na wewe kabisa atumie hizo siku saba za adhabu kujiandaa kumalizia nngwe maana yote yanayompata wapiga kura wanayaona na uamuzi wa mwisho ni wao. Ukimjua adui yako usimpe nafasi akumalize kwa urahisi bali mkimbie ikiwezekana mpaka upate nafasi ya kummaliza.
 
NEC wanaleta utani, wamejisahau sana, nawapa pole hawajui mtu wanaehangaika nae anaijua sheria zaidi yao, Lissu hakuna kurudi nyuma, songa mbele siku nyingine iwe fundisho kwa wengine kuzijua haki zao, na NEC wafanye kazi zao kwa kufuata sheria na taratibu sio kukurupuka tu.
 
Vipi tume ya maadili haiwezi kumfuta mazima akikaidi?
Afutwe kwa kosa gani? lini hao tume waliwahi kumuandikia malalamiko yao halafu Lissu akashindwa kuwajibu?
 
Back
Top Bottom