Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nakwambiaje endelea kuamini huo ujinga unaolishwa hapo Lumumba. Utapata majibu yake very soonAanze Belarus huko.............mtegemea cha ndugu hufa masikini....keyboard warrior jipiganie mwenyewe Mmarekani hana muda na huo utopolo wenu
Hapana. Nitakuwa hapa Tanzania mkoani Songwe nikiendelea na shughuli zangu, wewe unatokea huko ulipopataja ?Aah si mtakua tayari na uraia wa ukimbizi ubeligiji
Wa Burundi pia maana amesahau cheti cha kuzaliwa huko Urundi alikuja mbio mbio amebebwa mgongoni .....Aah si mtakua tayari na uraia wa ukimbizi ubeligiji
Huo ni mkoa wa Tz ni kwenda kusalimia tu hukoWa Burundi pia maana amesahau cheti cha kuzaliwa huko Urundi alikuja mbio mbio amebebwa mgongoni .....
Si mtavimba sana hadi kupasuka huku mzungu akiwacheka hiiiiiiiHapana. Nitakuwa hapa Tanzania mkoani Songwe nikiendelea na shughuli zangu, wewe unatokea huko ulipopataja ?
Hahaha mikwara yenu pelekeni kwenye vijiwe vya kahawa kwa mabolizozo wenzenu.......andaeni povu la kutosha baada ya tarehe 28Nakwambiaje endelea kuamini huo ujinga unaolishwa hapo Lumumba. Utapata majibu yake very soon
Unaongelea niniSi mtavimba sana hadi kupasuka huku mzungu akiwacheka hiiiiiii
Naunga mkono hojaNakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Unafiri ni vyema,kuneemeka watu 50 kati 1,000,000.kwa hiy.nchi ni ya wote na sio ya wachache .unadhani hatujuani ccm ndo itakayoleta machafuko.tutakung'utana vilivyo.usenge hatutaki hata kwenye nachafuko unadhani chanzo ni nini au hujawahi kusoma historian au kufatilia.Dhuruma,uzandiki,umwinyi,kuwaona wengine mavi.sasa ndo pale unadhani ni bwege anslianzisha unabaki umeduwaa.Mabeberu! we unafikir watakuepo muda huoo???Ni Mimi,Dada ako,mama ako,wewe na wengine.
Hizi keyboard mnazokalia nyuma yake mnafikir muda huo mtaupata?Nataman hao matembo mnayoyanadi na kuyasema basi yaingize hicho wanachotaka ili tupate joto la machafuko mjue kutofautisha nyeupe na nyeusi.
Achana na huo ushauri wa wana CCM wameshaona maji yamezidi unga
Yah drugs made in belgiumUnaongelea nini
Mimi kuwa Songwe na masuala ya kupasuka yana relate vipi ?
Are you high on drugs ?
Faki youYah drugs made in belgium
Ushauri mzuriNakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu anaona injustice inayotokea.
Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
Real? Watanzania maneno mengi tuHapo ndo patamu zaidi!! Hakuna mtanzania atakayekubali hilo. Na kabla ya uchaguzi tu Chadema watuhamasishe tuingie mtaani.
CCM HAKUNA KUCHEKA NAO. UKICHEKA NAO UNAVUNA MABUA KWELI.
MWAKA HUU LAZIMA KIELEWEKE
Ndo wamewafundisho hivo huko ubeligiji wakiwa wanawapumuliaFaki you
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisiNdo wamewafundisho hivo huko ubeligiji wakiwa wanawapumulia
Tarehe 28 mnapapaswa pododo hizo nyie toeni povu tu mzungu sio Mungu mnapapaswa huku akiwacheka ihiiiiiiiiiiCCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Unasubiria mpaka uhamsishwe,yani kama ni tembo basi apigwe dole ndo asogee? Kwani lissu anayemuhasisha kufanya siasa zenye chuki na uchochezi ni nani? Jitoe mwenyewe front line acha upunguani.Hapo ndo patamu zaidi!! Hakuna mtanzania atakayekubali hilo. Na kabla ya uchaguzi tu Chadema watuhamasishe tuingie mtaani.
CCM HAKUNA KUCHEKA NAO. UKICHEKA NAO UNAVUNA MABUA KWELI.
MWAKA HUU LAZIMA KIELEWEKE
Wait n see, we nunua popcorn tuReal? Watanzania maneno mengi tu
Kupigania haki yake angefanya kampeni akatangaza sera za chama chake lakini yeye kakali kumsema JPM huoni mpaka hapo hajui afanyacho. Anaabudu mahakama ya the Hague ambayo viongozi wa Afrika tu ndo hukutwa na hatia halafu bado unabisha huyu mtu sio kibaraka wa wazungu? Kama ni muoga wan kudai haki ni wewe ila binafsi tangu nikiwa shule ya msingi mpaka namaliza form 6 sijawahi kukubali adhabu ambayo sijui nimekosea nini, nilishafukuzwa shule kwa kauli ya mwalimu na barua uchwara kilichofata alilipia siku zote amabazo sijakanyaga shule kwa hiyo unaposemea suala la kudai haki najua kudai haki ni nini, sasa huyu amekalia kutukana na kutoa vitisho halafu mwisho wa siku anwaambia anapigania haki na usawa, usawa gani kama chaneli yao tu ya chadema wamezuia komenti na bado wanatanganza uhuru wa habari na kujieleza. Ukiwa mtu wa kusikia habari juu juu na kushadadia huwezi elewa, fuatilia utapata ufunuo.Unaijua vita au unaeneza propaganda zisizo na kichwa wala miguu?
Anachokifanya Lissu ni kupigania haki yake. Na kumbuka sisi watanzania ni waoge kwenye kupigania haki zetu. Tukiona mtu anasimama kidete hataki kuonewa, tunamuona ni mgomvi, ana kiburi, anataka sifa na mengine mengi ya aina hiyo.
Kama wito wake au usimamishwaji wake haunafuata sheria, ana haki ya kupigania.
Sitaki kuamini kuwa Lissu eti hajui alifanyalo