Povu kama lote!!! Wewe sabaya kufungwa kimekuuma huna wa kukutoa marinda tena !!! Kenge weweKwani wewe ni huyo mchumba na inakuhusu nini wakati ni maisha yake binafsi. Kaolewe wewe mapema kama unadhani ni rahisi
acha kutisha watu,hukumu imeshatolewa ni mvua 30Right mngejua mnaandaliwa kumwaga mapipa ya machozi na simanzi hapo mbeleni mngerudi shule mjifunze kusoma alama za Nyakati.
Yule Hakimu aliyetoa adhabu si mchezo kampiga Sabaya miaka 30 jela na fimbo 12 wakati anaingia na 12 wakati anatoka jela.....kha.....Sasa anaajirikaje jera maana akitoka na kiinua mgongo kinamhusu
Sabaya hana mke mkuu.Huenda akashinda rufani na kurudi uraiani. Ila ndoa huvurugika sana tu mwanandoa mmoja anapokosekana kwa muda mrefu nafasi yake hujazwa na mwingine kwa siri au kwa uwazi, rasmi na isivyo rasmi. Huyo mama asilani hataweza kusubiri mpaka miaka 30 bila hitaji la kindoa haiwezekani labda kama ana nadhiri ya kuishi maisha ya kutofanya jambo hilo mpaka mume wake atoke jela
unasahau na adhabu ya viboko.....acha kutisha watu,hukumu imeshatolewa ni mvua 30
Ni kama vile siku hizi kuna mashindano ya kuanzisha thd na watu wanalipwa!Was this necessary?
povu la nini? Ukweli ndio huoKaolewe wewe mkuu
Wacha watimize matakwa yao. Jiwe alitaka wasaliti wasiishi. Where is he now ?!
Yana mwisho . Kina Amin, Mobutu , Bokassa etc leo watu hawataki hata ubin wao
nyampara gani wa kumsogelea v.i.p? Yeye ndiye atakuwa nyampara, tena nyampara mkuu.blackbeauty kule jela ataolewa na nyampara
Wewe ni mtu mp...a..vu sana, mapenzi hayatazami ulicho sema,ila mwanamke mfanya biashara ya ngono ndiyo anaweza kutazama hayo,anaweza kumsubiri hiyo miaka 15 tu maana haifiki 30Kifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
Sabaya bado ana mahela mengi ya kumtosha kuishi Burundi kwa miaka 20. Jamaa ana energy ya kutosha kuinvest na kufanya biashara halali na haramu kwa ukubwa wowote. He is a really problem. Naoma Mungu rufaa yake itupwe mbali japo ni wazi atashinda na kutokaKifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
Hawezi kumsubiri. Labda kama wangeshafunga ndoa , na pengine wawe na mtoto.Wewe ni mtu mp...a..vu sana, mapenzi hayatazami ulicho sema,ila mwanamke mfanya biashara ya ngono ndiyo anaweza kutazama hayo,anaweza kumsubiri hiyo miaka 15 tu maana haifiki 30
Jela haina mwenyewe,unaweza kufungwa kwa makosa uliyo yafanya au unaweza kufungwa kwa makosa ambayo hujayafanya.Sipati picha first day sabaya ndio anapokelewa na wafungwa wenzake gerezani na kuanza kutumikia miaka yake 30 jela ,
At first anakutana na wale aliowabambikia kesi wkt akiwa kwenye nafasi mbali mbali za uongozi
Ikumbukwa kwamba kabla hajawa DC huyu mtu alikuwa ni m/k wa umoja wa vijana, alikuwa diwani, pia alikuwa na kitambulisho feki cha mwewe, kote huko lazima tu kuna watu aliwaumiza kwa jinsi kariba na utashi wake unavyoonekana.
Sasa wale ambao waliumia kupitia yy ndio mnakutana huko hali inakuaje?
Funzo: tunapokuwa na nafasi aidha ya madaraka au fedha, tujaribu kuwaza na kesho yetu, haya maisha tunaishi tu lkn hatujui kitu gani kitatokea dk 10 zijazo.
Yupo mmoja aliwahi kutamka kwamba yy ni raia anaye kula raha kuliko mtanzania yoyote hapa nchini, aliesema hayo kipindi akiwa na madaraka ya kulevya.
Lkn sasa inasemekana anaishi kama digidigi haonekani mtaani, mda wowote anaingia nyavuni, kama siyo system basi wale aliowatendea ndivyo sivyo, hana amani tena ,
Tuishi vizuri kwenye ardhi hii sote ni wapitaji tu.
Eti kama ni rahisi umenifurahisha sanaKwani wewe ni huyo mchumba na inakuhusu nini wakati ni maisha yake binafsi. Kaolewe wewe mapema kama unadhani ni rahisi
Naomba namba yake nimtafute ili nimpe poleKifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
Jela haina VIP mdogo wangu jela iskie kwa wenzako tunyampara gani wa kumsogelea v.i.p? Yeye ndiye atakuwa nyampara, tena nyampara mkuu.
hahahaWas this necessary?