Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Katiba yetu na sheria zetu zinatambua uwepo wa vyama vingi. Hivyo mgombea urais anayesema nikipata urais sitapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyo chagua wabunge au madiwani wasio wa chama chake, ni uvinjivu wa sheria na tusi kwa katiba yetu.
Hivyo napendeleza CHADEMA au Lissu kipindi hiki wamekufungia fanya jambo. Tafuta ushahidi wa ukiukaji wa maadili wa Pombe, peleka NEC. Potelea pote kama NEC itatupilia shitaka lako kama walivyofanya mwanzo wakati wa uteuzi, lakini watanzania na dunia itakuwa imepata kitu fulani kuielewa hii NEC kwa hicho wanasema eti ipo huru!!