Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Malalamiko zaidi ya matatu yameshapelekwa na hakuna hatua zikizo chukuliwaKatiba yetu na sheria zetu zinatambua uwepo wa vyama vingi. Hivyo mgombea urais anayesema nikipata urais sitapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyo chagua wabunge au madiwani wasio wa chama chake, ni uvinjivu wa sheria na tusi kwa katiba yetu.
Hivyo napendeleza Chadema au Lissu kipindi hiki wamekufungia fanya jambo. Tafuta ushahidi wa ukiukaji wa maadili wa Pombe, peleka NEC. Potelea pote kama NEC itatupilia shitaka lako kama walivyofanya mwanzo wakati wa uteuzi, lakini watanzania na dunia itakuwa imepata kitu fulani kuielewa hii NEC kwa hicho wanasema eti ipo huru!!
Duh, sikuwa na taarifa hiyo. Hakika NEC-Tume ya Uchaguzi kwa sasa ni actual idara ndani ya muundo wa CCMMalalamiko zaidi ya matatu yamesha pelekwa na hakuna hatua zikizo chukuliwa
Mnyika alishaandika barua tatu,lakini zote NEC wamezikalia kimyaKatiba yetu na sheria zetu zinatambua uwepo wa vyama vingi. Hivyo mgombea urais anayesema nikipata urais sitapeleka maendeleo kwenye majimbo yaliyo chagua wabunge au madiwani wasio wa chama chake, ni uvinjivu wa sheria na tusi kwa katiba yetu.
Hivyo napendeleza Chadema au Lissu kipindi hiki wamekufungia fanya jambo. Tafuta ushahidi wa ukiukaji wa maadili wa Pombe, peleka NEC. Potelea pote kama NEC itatupilia shitaka lako kama walivyofanya mwanzo wakati wa uteuzi, lakini watanzania na dunia itakuwa imepata kitu fulani kuielewa hii NEC kwa hicho wanasema eti ipo huru!!
Halafu kwa muundo wa kichwa cha Mahera, Oblangata itakuwa upande gani!!?Mahera hayuko huru kihivyo...ni kada anayelinda maslahi
Halafu kwa muundo wa kichwa cha Mahera, Oblangata itakuwa upande gani!!?
Kama magu atakavo pigiwa na musevenPiga spana Wasaliti wa Nchi [emoji3][emoji3][emoji3]
Lissu atapigiwa kura na robert