Namshukuru kila aliyewezesha kutimuliwa kwa Mkwassa Stars

Niko tayari kutoa pesa taslimu ili kumng'oa Malinzi.
 
Mkuu mtoa uzi, ungekuwa na uwezo wa kufanya maamuzi ya kuchagua kocha mpya wa stars ungemchagua nani awe kocha mkuu.
 
Mkuu mtoa uzi, ungekuwa na uwezo wa kufanya maamuzi ya kuchagua kocha mpya wa stars ungemchagua nani awe kocha mkuu.
Ningechagua kocha bora , na nisingetumia kigezo cha kujuana .
 
Wadau naona tunatafuta mchawi bure...
Narudia je maandalizi kuanzia chini kwa kiwango cha kimataifa tunacho?Program za watoto zipo?na kama zipo chache vyombo husika vinawajibika?japo kuvitembelea?
Huko tunako angalia luninga na kushabikia timu za nje,kila mchezaji ana historia kuanzia chini,iwe academy au soccer school.Hatuja chelewa timu zetu kuwa bora,kwa maoni yangu ligi ya ndani ni tofauti na tunapokuwa katika michezo ya nje.Upeo wetu wa mpira kwa wachezaji upo chini.
Walimu tunao wazuri,je ni wa developing programs football?
Natoa hoja.
 
Ile aibu haivumiliki , kwa uzalendo nilionao sikutoka nje wiki !
Kama sisi watanzania tusio kua na misingi mizuri ya soka,,tunalia hivi,je na Brazil wenye kila kitu wao wanalia vipi kwa kupigwa 7_1
 
Mkwasa hajui chochote kuhusu football
 
Mpiga dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…