Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Niko tayari kutoa pesa taslimu ili kumng'oa Malinzi.JAMAL MALINZI ni tatizo soka la nchi yetu limeporomoka kabisa.
Tulikuwa wa 81 wakati wa Tenga hivi sasa tunashika namba 155 kiubora duniani.
Huyu bwana yupo yupo tu hajui anachofanya. Ngumi zilmshinda, pale Yanga alivuruga.TFF timu ya taifa imekosa mvuto inafungwa kila siku,wadhamini wanapungua. Aondoke tu pale.