Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Ww jamaa hata Posa hujatoa unasema eti mkee mwemaa kaa kwenye ndoa miaka hata 7 uje hapa utwambie ni mke mwema au kisa ana kazi serikalini??

Nyie wanaume mnaopenda ndoa huwa mnanishangazaaaa
 
Khakhaakhaaaaa dozi ya jana ni hatareeeeeeeeeeeeeeee
Alinipa akanipa tena akanipa akanipa tena akanipa akaniongeza mpaka nikawa hoooiii bin taabani haha
Smart911 kiboko yaooooooooo
Mpaka ukaenda kujikunyata kwenye kona ya kitanda ati hutaki tena unahitaji kupumua kwanza... Hahaha... super dear... Am Glad its you who got tired and not me...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…