Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hahahhh itakua una masharti mengiHongera kaka mm kila siku nikiweka uzi wa kuhitaji mke wana like wanaume wenzangu tu mpk linazama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhh itakua una masharti mengiHongera kaka mm kila siku nikiweka uzi wa kuhitaji mke wana like wanaume wenzangu tu mpk linazama
Wenzio wapo wapi mam mdogo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
halaf mm sio mam mdogo wako nakuona hii mara ya pili unaniita naitwa shunie [emoji3]Wenzio wapo wapi mam mdogo?
Wewe umeshakua bwana kuitana majina hata haileti raha...jichagulie lingine tofauti na shuniehalaf mm sio mam mdogo wako nakuona hii mara ya pili unaniita naitwa shunie [emoji3]
Waaala awe tu na akili timamu na umri kuanzi 25 mpk 30 na awe tayari kuishi Mozambiquehahahhh itakua una masharti mengi
Mungu atangulie mipango iweze kukamikika ili muweze kufurahia uumbaji wa Mungu!Kuna kipindi nilikuja hapa jukwaani kulalamika na kuomba wanajukwaa hili wanisaidie kumpata mwanamke niliyempenda sana na ni member anayejulikana kwa jina la rubii baada ya jitihada za kumbembeleza akashindwa kabisa kunikubali pengine baada ya kujua biashara yangu ( kuuza na kusambaza majeneza, sanda na vifaa vyote vya kuzikia).
Nilitumia kila njia kumbembeleza pamoja na kuahidi kumwoa na kumpa kila atakachotaka lakini ilishindikana. Kama ujuavyo kila jambo hupangwa na Mungu, kuna member waliokuja Pm ili kutaka japo kunifariji.
Mwisho wa yote kuna mdada mmoja akavutiwa na mimi na kuanza mawasiliano ambapo baadae tulikubaliana kuonana nikamtumia nauli akaja Dom tukafahamiana she is naturally beauty na amekubaliana na maisha yangu na tuko katika maandalizi ya kwenda kweo kutoa posa.
Nimeamini kwamba sio kila mwanamke aliye JF ni malaya au mchunaji kuna wanawake wako serious kuolewa. Ningemtaja lakini kulingana na umaarufu wake hapa jukwaani sintomtaja mapema mpaka tukishafunga ndoa. Ana elimu nzuri na ni mwajiriwa serikalini na ameikubali kazi yangu.
Nawashukuru mods na waanzilishi wa JF pamoja na wote mlioniombea mema.
nimekua wapi mm niite shunie tuWewe umeshakua bwana kuitana majina hata haileti raha...jichagulie lingine tofauti na shunie
labda hiyo ya kuishi msumbiji inawaogopeshaWaaala awe tu na akili timamu na umri kuanzi 25 mpk 30 na awe tayari kuishi Mozambique
nimekua wapi mm niite shunie tu
[emoji57][emoji57] mimi kiumbe sio...! Ama nini
Nani kakuua uchumba?? Teh nataka nikurith bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha nimechekaaa balaaa
Bro, yangu itoe bwana mimi bado nipo nipo saana
Nimeminya map### ndomana hawanioniNinja mbona huandikwi wewe na shemeji yangu?
Ngoja nimwite shemeji bora uyaachie tuNimeminya map### ndomana hawanioni
Bro unataka mikoba!
Ha ha ha ha labda kweli ila ndio nilikoajiriwalabda hiyo ya kuishi msumbiji inawaogopesha
Degedege za ukubwani zipoje mkuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu kama umepata shukuru mungu maana wengi nikiwatizama naona tutakuja kutiana degedege za ukubwani bure
Degedege za ukubwani zipoje mkuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nielekeze mkuu ili niongeze umakini[emoji4]Ngoja ikupate alafu ntakuelekeza