STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Kumbe mbuzi kala mkeka?hapo kwa Daby na husna [emoji23] uchumba umeshakufa
siamini aisee, huenda hizi ni kiki labda Daby anataka atoe wimbo mpya... Cc husna muba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mbuzi kala mkeka?hapo kwa Daby na husna [emoji23] uchumba umeshakufa
Ila nasikia kwa mama lwakatare huu msemo ni invalid.Hongera mkuu. Golden chance never comes twice
hapo kwa Daby na husna [emoji23] uchumba umeshakufa
Alaaaah kumbeIla nasikia kwa mama lwakatare huu msemo ni invalid.
tena hiyo mioyo mi3 iwe ya chuma [emoji23] Daby n changamoto🙁🙁🙁
Kwa ataekuwa na huyo kiumbe anahitaji mioyo ya ziada if possible hata mioyo mitatu mitatu make kwa moyo mmoja huu wa damu na nyama huu ...........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah mkuu hongera sana maana humu mkuu kuna wengi hawaaminiki kwa kweli
tunaogopa kupelekwa mabwe kwenye kugaiwa viwanja kama Dk Ulimboka
Bro, yangu itoe bwana mimi bado nipo nipo saana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha nimechekaaa balaaahapo kwa Daby na husna [emoji23] uchumba umeshakufa
Ninja mbona huandikwi wewe na shemeji yangu?Kumbe mbuzi kala mkeka?
siamini aisee, huenda hizi ni kiki labda Daby anataka atoe wimbo mpya... Cc husna muba
Mkuu kama umepata shukuru mungu maana wengi nikiwatizama naona tutakuja kutiana degedege za ukubwani bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenyewe mwanzoni sikumwamini sana huyu ila kwa sasa nimeshamzoea na kuona kweli nimepata mke mwema.!
Halafu kuna watu ukiwaona humu jukwaani halafu ukaja kuonana nao live ni tofauti kabisa na zile story za pumba wanazokoment.
Kuna wengi huingia Jf ili kuondoa stress mimi pia ni mmoja wao lakini tukikutana live utashangaa.!
Ndivyo ilivyotokea kwa mimi na huyu member mwezetu (shemeji/wifi yenu)
[emoji57][emoji57][emoji57]tena hiyo mioyo mi3 iwe ya chuma [emoji23] Daby n changamoto
kweli tupoTatizo ni lipi Mkuu!? Kwani kuna tofauti gani kukutana na mpenzi humu mkaanza kupendana, hatimaye kukutana na kama wote mnakubaliana kwamba mko tayari kuishi kama mume na mke basi mkafunga pingu za maisha!?
Usilidharau penzi linaloanzia mtandaoni, lina majaribu kama penzi la wanaokutana vyuoni, maofisini, kitaa etc lakini pia linaweza kushamiri na ndoa kufungwa.
Hapa jamvini kuna wanaume na wanawake wenye sifa nyingi za kuwemo kwenye ndoa.
Ni kweli kabisa unachosma... Kuna watu humu tofauti kabisa na ukikutana nao face to face...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenyewe mwanzoni sikumwamini sana huyu ila kwa sasa nimeshamzoea na kuona kweli nimepata mke mwema.!
Halafu kuna watu ukiwaona humu jukwaani halafu ukaja kuonana nao live ni tofauti kabisa na zile story za pumba wanazokoment.
Kuna wengi huingia Jf ili kuondoa stress mimi pia ni mmoja wao lakini tukikutana live utashangaa.!
Ndivyo ilivyotokea kwa mimi na huyu member mwezetu (shemeji/wifi yenu)
hahahhh degedege za ukubwaniMkuu kama umepata shukuru mungu maana wengi nikiwatizama naona tutakuja kutiana degedege za ukubwani bure