Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

Mungu atangulie mipango iweze kukamikika ili muweze kufurahia uumbaji wa Mungu!
 
[emoji57][emoji57] mimi kiumbe sio...! Ama nini


Bro You are mistaken I think!
Anyway sio wewe walaaaa namaanisha mwingine kabisaa kuna mmoja alitaka kuleta habari za kuna petro na kuna yuda akajishaua eti don't quote or mention me anywhere khakhaakhaa nikacheeeeekaa
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol mpaka waleo heshima inachukua mkondo wake

mzeewakungoa Maisha haya ukizoea watu sanaaaaa waeza hatarisha ndoa yako takatifu

Cc Smart911
 
Mkuu kama umepata shukuru mungu maana wengi nikiwatizama naona tutakuja kutiana degedege za ukubwani bure
Degedege za ukubwani zipoje mkuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…