Nani huyo? Mtaje tumjue wifi yetu. Maana umemkana huyo Husna kwa nguvu.Yaani wewe endelea kunipiga vita... kuna mtu kanituliza huwezi amini sifurukuti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera kaka mm kila siku nikiweka uzi wa kuhitaji mke wana like wanaume wenzangu tu mpk linazama
Mkuu usikate tamaa utapata tu.Waaala awe tu na akili timamu na umri kuanzi 25 mpk 30 na awe tayari kuishi Mozambique
Wacha weeeee!Oops! Smart911 ananimarrliiizaaaaaaaa
Yani yani yani Wacha kabisa
Lakini leo naona amekupa breath
Lol. Kumbe alikua anakusema wewe? Huku napo kuna kapo na mitongozo ya ukweli kumbe?Kuviruhusu vibinti kukusogelea shida saana. Acha kunifuatilia tulia na jamaa kama yupo real. Yalisha pita focus ya sasa.
Buy, sitegemei unifuatilie tehna wala sitakujibu tena. Naheshimu watu humu.
Na hio ID mpya ulioweka wasubiri tuLol. Kumbe alikua anakusema wewe? Huku napo kuna kapo na mitongozo ya ukweli kumbe?
Ningekujia sema huo umri umepishana kidogo sana na mama angu.Me nnahitaji mwanamke mwenye mtoto m1 au wa2 tuje tuunganishe na wangu wa3 tulee,, ni mwalimu wa shule ya msingi, umri wangu ni 42yrs, awe na mapenz ya kweli, mjasiria mali au mwajiriwa, zaidi awe mwaminifu na hofu ya Mungu awe nayo pia, alie serious aje pm
ID ya nani tena mkuu?Na hio ID mpya ulioweka wasubiri tu
Hata wewe pia ni hatereeeee... Kwa dozi hizo mtu mchovu saa hizi angekuwa kashalala kwa uchovu wa jana.Khakhaakhaaaaa dozi ya jana ni hatareeeeeeeeeeeeeeee
Alinipa akanipa tena akanipa akanipa tena akanipa akaniongeza mpaka nikawa hoooiii bin taabani haha
Smart911 kiboko yaooooooooo