Namshukuru Mwenyezi Mungu Leo Ni Birthday Yangu

Hongera sana arifu!! lakini just kwa ushauri, JITAHIDI KUPUNGUZA MATUSI HILO TU!! na huu ndio ushauri wangu kwako! kila heri katika sikukuu yako ya kuzaliwa...peace!!
 

Akhsante Na Ubarikiwe Sana Rafiki Yangu Kipenzi Nifah.
 
Happy birthday gentmycine baba!mwenyezi mungu akupe umri zaidi na maisha yenye furaha na mafanikio.
 
Happy birthday gentmycine baba!mwenyezi mungu akupe umri zaidi na maisha yenye furaha na mafanikio.
Ndugu....
Najua atakuvumilia sababu tu ni umemtakia khery ya kuzaliwa.
Lakini tofauti na hapo 'ungeyakoga' kwa jinsi ulivyoikosea hiyo ID ya Mathematician GENTAMYCINE
 
haaa acha utani mkuu, labda urekebishe kidogo heading ili nielewe vizuri.
 
Ndugu....
Najua atakuvumilia sababu tu ni umemtakia khery ya kuzaliwa.
Lakini tofauti na hapo 'ungeyakoga' kwa jinsi ulivyoikosea hiyo ID ya Mathematician GENTAMYCINE

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Kabisa,mnyonge tumnyonge lakini tumpe haki yake.
Mungu ampe maisha marefu na afya njema.

Nawashukuruni Kwa Compliments Zenu Kwangu ILA Nisiwe Mchoyo Wa Kutoa Shukrani au Mnafiki Kwa Kutokukiri Kuwa Tokea Nijiunge JF Miaka Karibia Mitatu Sasa Uwezo Wangu Wa AKILI, KUJENGA HOJA Na Kujua Wapi Natakiwa NIHIMILI au NIJIBU Pale Hisia Zangu Za Kinyarwanda Na Kitanzania Zikinipanda Nimeweza KUJIFUNZA Na KUZIPATA Kutoka Kwenu Members Wote Wa JF Na Labda Leo Niseme Tu UKWELI Kuwa MEMBERS WOTE WA JF Ni WATU WEREVU NA MAKINI SANA Na Ningeshauri Hizi AKILI Zenu Nzuri, Kubwa Na ZILIZOTUKUKA Hebu Basi Tuzitumie Katika Kuiletea MAENDELEO Nchi Yetu Kwani Naamini Kila Member Wa JF Anawakilisha WATANZANIA 100 Hivyo Sisi Tunaweza Kuwa Ni Chachu Nzuri Katika Ustawi Bora Wa Taifa Letu Hili Bila Kujali Itikadi Zetu Za Dini au Ukabila au Za Kisiasa. Bila Members Wa JF Leo Huku Kitaani au Kazini au Katika Jamii Nisingekuwa NAKUBALIKA Kwani Mmenijenga Mno KIFIKRA Japo Nikiri Kuwa Sometimes Huwa Nashikwa Na MUHEMKO Na NAHAMAKI Ila Nalifanyia Kazi Hilo Tatizo Na Tegemeeni Kumwona GENTAMYCINE Mpya Japo Kuna Wakati Nitakuwa Nachomekea Tu Utani Wangu Wa Hapa Na Pale Ili Tuchangamshane Humu.

Mwisho Niseme Tena Pongezi Zangu Za DHATI Kabisa Ziwafikie WAANZILISHI Wote Wa Huu Mtandao Wa JF Kwani Wameweza Kutupatia MAHALA Ambapo Tunaweza Kutoa Yetu Ya Moyoni Na Ambayo Yana IMPACT Kubwa Sana Katika Nchi Yetu Na Bila Kuwasahau Na Moderators Wao Wote Ambao KIUKWELI Nahisi Huwa WANAFANYA Kazi Sana Kulisukuma Vizuri Hili Gurudumu La Kimawasiliano.

Nawapendeni NYOTE Na Mbarikiwe Wale Wote Mliochukuwa Muda Wenu Na Kunitakia Happy Birthday Jana Na Wengine Mnaoendelea Kunipa Leo. MBARIKIWE NYOTE Mwaaaaaaaaaah...........!
 
Ukishindwa kumkubali huyu kiumbe GENTAMYCINE utakuwa hauko sawa!!

Ni moja sifa kuu na ya kipekee kwa ndugu huyu ni kutokuwa na mihemko ya ovyo ovyo! GENTA ni mtu ambaye laiti kama kungekuwa na kitufe cha DISLIKE basi yeye ndio angeongoza kwa kuwa na dislike nyingi, ila huyu mwamba kamwe hatumii lugha mbovu na katika kujibishana na wadau haumu! Eventually, GENTAMYCINE ame-win mioyo ya wengi wetuπŸ™„

Humble
Calm
Sensible in insensible way
Sane in insanity way
Genial
Gentle in gentleman's way
POPO in POPOMA'S WAY😱

Eventually jamaa anatake off na kuwa kipenzi cha wengi JF.

Anyways! HAPPY BIRTHDAY BRO! may you live to blow hundred candles (ila nawaza ukiwa na miaka 70+ level yako ya upopoma itakuwa ni goldπŸ˜€, just thinking! Dont take it serious)

Enjoy!
 

Haya Bhana.
 
Jitahidi kuandika kwa staili hii bila kutumia neno "tukuka" Ukifanya hivyo nitafurahi sana and btw, hb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…