Namshukuru Mwenyezi Mungu Leo Ni Birthday Yangu

Namshukuru Mwenyezi Mungu Leo Ni Birthday Yangu

Hakika Sina Cha Kumlipa Mwenyezi Mungu Zaidi Ya Kumwambia AKHSANTE Kwa Kunipa Miaka Yangu Hii Niliyonayo Huku Nikiwa Nipo Salama Kabisa Na Sina Tatizo Lolote Lile.

Akhsante Mwenyezi Mungu, Wazazi, Walimu / Wahadhiri Marafiki Zangu Wote Waliokuwa Na Msaada Mkubwa Mno Kwangu Hakika Bila Jitihada Zenu Leo Nisingekuwa GENTAMYCINE Huyu. Salute Kwenu Amen / Inshaallah.
Hongera sana arifu!! lakini just kwa ushauri, JITAHIDI KUPUNGUZA MATUSI HILO TU!! na huu ndio ushauri wangu kwako! kila heri katika sikukuu yako ya kuzaliwa...peace!!
 
Uwiiiiiiii nimeshakuwish sehemu,pia nilitaka nifanye kitu kwa ajili yako ila sio mbaya.
Happy birthday rafiki yangu kipenzi GENTAMYCINE.
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuvunja mbavu,kwani umekuwa ukiniongezea siku kwa ucheshi wako.
Kila la kheri.....
Heri ya siku yako ya kuzaliwa
Heri ya pasaka.

Akhsante Na Ubarikiwe Sana Rafiki Yangu Kipenzi Nifah.
 
Happy birthday gentmycine baba!mwenyezi mungu akupe umri zaidi na maisha yenye furaha na mafanikio.
 
Happy birthday gentmycine baba!mwenyezi mungu akupe umri zaidi na maisha yenye furaha na mafanikio.
Ndugu....
Najua atakuvumilia sababu tu ni umemtakia khery ya kuzaliwa.
Lakini tofauti na hapo 'ungeyakoga' kwa jinsi ulivyoikosea hiyo ID ya Mathematician GENTAMYCINE
 
haaa acha utani mkuu, labda urekebishe kidogo heading ili nielewe vizuri.
 
Kabisa,mnyonge tumnyonge lakini tumpe haki yake.
Mungu ampe maisha marefu na afya njema.

Nawashukuruni Kwa Compliments Zenu Kwangu ILA Nisiwe Mchoyo Wa Kutoa Shukrani au Mnafiki Kwa Kutokukiri Kuwa Tokea Nijiunge JF Miaka Karibia Mitatu Sasa Uwezo Wangu Wa AKILI, KUJENGA HOJA Na Kujua Wapi Natakiwa NIHIMILI au NIJIBU Pale Hisia Zangu Za Kinyarwanda Na Kitanzania Zikinipanda Nimeweza KUJIFUNZA Na KUZIPATA Kutoka Kwenu Members Wote Wa JF Na Labda Leo Niseme Tu UKWELI Kuwa MEMBERS WOTE WA JF Ni WATU WEREVU NA MAKINI SANA Na Ningeshauri Hizi AKILI Zenu Nzuri, Kubwa Na ZILIZOTUKUKA Hebu Basi Tuzitumie Katika Kuiletea MAENDELEO Nchi Yetu Kwani Naamini Kila Member Wa JF Anawakilisha WATANZANIA 100 Hivyo Sisi Tunaweza Kuwa Ni Chachu Nzuri Katika Ustawi Bora Wa Taifa Letu Hili Bila Kujali Itikadi Zetu Za Dini au Ukabila au Za Kisiasa. Bila Members Wa JF Leo Huku Kitaani au Kazini au Katika Jamii Nisingekuwa NAKUBALIKA Kwani Mmenijenga Mno KIFIKRA Japo Nikiri Kuwa Sometimes Huwa Nashikwa Na MUHEMKO Na NAHAMAKI Ila Nalifanyia Kazi Hilo Tatizo Na Tegemeeni Kumwona GENTAMYCINE Mpya Japo Kuna Wakati Nitakuwa Nachomekea Tu Utani Wangu Wa Hapa Na Pale Ili Tuchangamshane Humu.

Mwisho Niseme Tena Pongezi Zangu Za DHATI Kabisa Ziwafikie WAANZILISHI Wote Wa Huu Mtandao Wa JF Kwani Wameweza Kutupatia MAHALA Ambapo Tunaweza Kutoa Yetu Ya Moyoni Na Ambayo Yana IMPACT Kubwa Sana Katika Nchi Yetu Na Bila Kuwasahau Na Moderators Wao Wote Ambao KIUKWELI Nahisi Huwa WANAFANYA Kazi Sana Kulisukuma Vizuri Hili Gurudumu La Kimawasiliano.

Nawapendeni NYOTE Na Mbarikiwe Wale Wote Mliochukuwa Muda Wenu Na Kunitakia Happy Birthday Jana Na Wengine Mnaoendelea Kunipa Leo. MBARIKIWE NYOTE Mwaaaaaaaaaah...........!
 
Ukishindwa kumkubali huyu kiumbe GENTAMYCINE utakuwa hauko sawa!!

Ni moja sifa kuu na ya kipekee kwa ndugu huyu ni kutokuwa na mihemko ya ovyo ovyo! GENTA ni mtu ambaye laiti kama kungekuwa na kitufe cha DISLIKE basi yeye ndio angeongoza kwa kuwa na dislike nyingi, ila huyu mwamba kamwe hatumii lugha mbovu na katika kujibishana na wadau haumu! Eventually, GENTAMYCINE ame-win mioyo ya wengi wetu🙄

Humble
Calm
Sensible in insensible way
Sane in insanity way
Genial
Gentle in gentleman's way
POPO in POPOMA'S WAY😱

Eventually jamaa anatake off na kuwa kipenzi cha wengi JF.

Anyways! HAPPY BIRTHDAY BRO! may you live to blow hundred candles (ila nawaza ukiwa na miaka 70+ level yako ya upopoma itakuwa ni gold😀, just thinking! Dont take it serious)

Enjoy!
 
Haya Bhana.
 
Hakika Sina Cha Kumlipa Mwenyezi Mungu Zaidi Ya Kumwambia AKHSANTE Kwa Kunipa Miaka Yangu Hii Niliyonayo Huku Nikiwa Nipo Salama Kabisa Na Sina Tatizo Lolote Lile.

Pia Napenda Kuchukuwa Nafasi Hii Kuwafahamisheni Members Kuwa Leo Tarehe 27, March Ni Birthday Yangu Ila Nisingependa Ipite Hivi Hivi Kama Nisingesema Kuwa Katika Moja Ya Furaha Zangu Na Maarifa Yangu Nimetoa Humu Kwenu JF Members Na Kusema Ukweli Huwa Nawafurahia Mno.

Napenda Pia Kuchukua Fursa Hii Murua Kuomba Radhi Kwa Wale Wote Ambao Kwa Namna Moja au Nyingine Niliwakwaza Na Sasa Naomba Tuanze Upya.

Nawapendeni Nyote Na Mwenyezi Mungu Awabariki Nanyi Pia Na Waanzilishi Wa Mtandao Huu Mzuri Na Muhimu Wa Jamii Forums Bila Kuwasahau Na Moderators Wote Kwa Kazi Yao Nzito Ya Kuhakikisha Mambo Yanaenda Vizuri Huku Wakitukong'oli BAN Za Kufa Mtu.

Akhsante Mwenyezi Mungu, Wazazi, Walimu / Wahadhiri Marafiki Zangu Wote Waliokuwa Na Msaada Mkubwa Mno Kwangu Hakika Bila Jitihada Zenu Leo Nisingekuwa GENTAMYCINE Huyu. Salute Kwenu Amen / Inshaallah.
Jitahidi kuandika kwa staili hii bila kutumia neno "tukuka" Ukifanya hivyo nitafurahi sana and btw, hb.
 
Back
Top Bottom