Pre GE2025 Namshukuru Rais Samia napata mshahara ninaostahili kama Bingwa katika fani yangu

Pre GE2025 Namshukuru Rais Samia napata mshahara ninaostahili kama Bingwa katika fani yangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.

Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Wewe utakuwa daktari mjinga. Kwanini unaangalia interest zako na si interest za nchi na Wananchi? Mitano Tena kwa tumbo lako.
 
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.

Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Duh!

Miaka yote hiyo shuleni, bado unafikiri namna hii?
Wewe ni Bingwa wa nini huko kwenye u-daktari? Unajuwa u-bingwa haukotwi kama embe dodo alilookota 'Chura Kiziwi'?
Mungu aepushie mbali, sitaki kukutana na Bingwa wa aina hii nikipatwa na janga la ugonjwa!

Sasa unataka kueneza u'chawa' hata kwenye taaluma za heshima, nchi hii imezalisha vilaza wengi kwelikweli!
 
Muhimu ni wewe kutoa location ya clinics zako, wapi na mda gani, toa specialisation yako ili wanajf tuje kwa wingi kwenye clinic yako. Hata kama ni Mbagala nitakuja, hata kama ji gyno nitakuja..tutatafuta ugonjwa regardless 🤪
 
Back
Top Bottom