uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Daktari Bingwa au Chawa Bingwa?Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya