Daktari Bingwa au Chawa Bingwa?Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Kamba yenu itakuwa fupiHalafu huu mwaka mbona watu wanashukuru kimafungu walianza walimu na Sasa hivi watumishi wa afya wanajimwambafai kwa kupewa malundo sisi makatibu kata ndio tumepigwa.
😂Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Sawa wewe ni daktari bingwa!!!!!!!Naona picha mbeleni kwamba watumishi wa umma tukifanyakazi kwa bidding kubwa
Hakuna mtu mwenye akili akalipwa 5m akapoteza muda kuja hapo kupost upuuziWanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Kwa jirani Hali za ma daktari zipojesawa Dr hapo kwenye 32 M za hesbl bado unadaiwa ngapi??
View attachment 3053078
Hata mimi namkubari sana sijui kwanini?Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Naumwa mwenzako...Niko serious pia
Sasa hilo n kisonono sugu, paka pilipili kichaa hapo kwenye kichwaNaumwa mwenzako...
Nakojoa volcano ujue
Housegirl ushampa nauli aondoke? Au ndiyo kujiliwaza hukuWanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Ahahahaa mkuu mda wa kukojoa .. nakojoa mikojo hatua tatu..Sasa hilo n kisonono sugu, paka pilipili kichaa hapo kwenye kichwa
Million 5 bila makato unalipwa km Daktari Bingwa si ndio?
Ndio ukubwa huo mkuuAhahahaa mkuu mda wa kukojoa .. nakojoa mikojo hatua tatu..
1-mkojo normali (hakuna maumivu)
2- mkojo mzito uji hvi( maumivu yake huwa nalia kwa kawaida)
3- hii nakojoa lava mkojo wa moto alafu kama una pili pili ya kukwangua ( hii hiwa na maumivu mpaka napiga kelele maana ukijikaza usilie ni kama maumivu yanaongezeka)
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Hongera dr... Japo kuna watanzania wenye hasira kali watakakuja kukusema na wengine watalalamika wanamaisha magumuWanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Toka lini daktar akaandika vizuri .miandiko yao inasomwagwa na watu wa duka za dawa tuhHuu ndo uandishi wa daktari Bingwa? Dunia ngumu hii!
Na wewe ushawahi kupuyanga nn mkuu ahahaNdio ukubwa huo mkuu
2017 hapo nilikanyaga moto 😂Na wewe ushawahi kupuyanga nn mkuu ahaha
Alikufuata inbox?Wewe ni daktari bingwa?
Labda daktari wa Mapenzi