Namsihi Humphrey Polepole asitishe press ya tarehe 17, tafadhali sana

Namsihi Humphrey Polepole asitishe press ya tarehe 17, tafadhali sana

Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
Kwani ndugu Boss la Dp iwapo kunayo madudu hapo Dp world hataki kuyajua kwa manufaa ili uboreshe mapungufu hayo?Ama pamekuwa mrija wa unaowaogopaa?
 
Unataka atoe dukuduku. Polepole mwanangu kunyamaza ni hekima.
"The goat that bleats loudly invites the butcher."
 
Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
mwache aseme atakalo Mama hayumbi hata kidogo
 
Mmmh yajayo yanafurahisha.
Pole pole hana lolote zaidi ya unafiki tu, sio mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Anakuja kukusifia boss, umeongeza ufanisi hapo bandarini. Kaa kwa kutulia huku ukinywa juisi ya tende na korosho hapo kesho.
 
Hata Polepole asemeje! Yule Mama na Genge la Wahuni linalomtuma kufilisi nchi kwa maslahi yao hawatashituka.
Sasa hivi huenda Chawa wakiongozwa na Amos wamejipanga kujibu na kupotosha ukweli.
 
Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
lazima mkataba wenu ujulikane vema la sivyo mjue kwamba ipo siku huo mkataba utapitiwa upya, na ikibainika kulikuwa na madudu utavunjwa
 
Back
Top Bottom