Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Asitishe mkuu, tutaumbuka.Si aachwe tu
Atusitiri.Ulishawahi kuwa na kitu ila roho inashindwa kutulia mpaka ukiseme? Ndo polepole sasa
Anatoa ufafanuzi dhida iko wapi?Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
😂😂Hii nchi sio mali yenu.
Kwani ndugu Boss la Dp iwapo kunayo madudu hapo Dp world hataki kuyajua kwa manufaa ili uboreshe mapungufu hayo?Ama pamekuwa mrija wa unaowaogopaa?Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
mwache aseme atakalo Mama hayumbi hata kidogoNajua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
huyo ni zeroMmmh yajayo yanafurahisha.
Pole pole hana lolote zaidi ya unafiki tu, sio mzalendo.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
lazima mkataba wenu ujulikane vema la sivyo mjue kwamba ipo siku huo mkataba utapitiwa upya, na ikibainika kulikuwa na madudu utavunjwaNajua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.