LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jul 16, 2025 #21 Hiyo press inaweza kuzuiliwa kibabe isiwepo maana ni press ya kupasua mbarika
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,844 Reaction score 9,916 Jul 16, 2025 Thread starter #22 LOTH HEMA said: lazima mkataba wenu ujulikane vema la sivyo mjue kwamba ipo siku huo mkataba utapitiwa upya, na ikibainika kulikuwa na madudu utavunjwa Click to expand... Msinifanyie hivyo tafadhali, ntawaletea magunia ya tende na makobazi
LOTH HEMA said: lazima mkataba wenu ujulikane vema la sivyo mjue kwamba ipo siku huo mkataba utapitiwa upya, na ikibainika kulikuwa na madudu utavunjwa Click to expand... Msinifanyie hivyo tafadhali, ntawaletea magunia ya tende na makobazi
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jul 16, 2025 #23 Hiyo press inaweza kuzuiliwa kibabe isiwepo maana ni press ya kupasua mbarika
Redpanther JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 3,049 Reaction score 4,301 Jul 16, 2025 #24 Hata kumshikilia nikumpa Airtime, wamwachie akaburuzwe kwenye Uchaguzi. Kwa namna yoyote hawezi shinda. Wamwachie tu, akutane na Mama Kwenye Box la Kura.
Hata kumshikilia nikumpa Airtime, wamwachie akaburuzwe kwenye Uchaguzi. Kwa namna yoyote hawezi shinda. Wamwachie tu, akutane na Mama Kwenye Box la Kura.
MR KUO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,775 Reaction score 3,983 Jul 16, 2025 #25 Hapana, lazima aongee tujue yaliyojificha