Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

Njoo kwangu nikupekitu ili huyo mtoto arithi akili zangu tu, ujanja, hekima, ucheshi, vurugu n.k atarithi kwa hao akna Rejao, Mzee mwanakijiji na wengineo maana najua urithi mzuri ni wa akili tu. Sasa mbona wewe hujasema watoto watarithi nini kutoka kwako. Nina wasi wasi kama mtoto/watoto wakizaliwa wa kike wanaweza kurithi hiyo tabia yako ya kutaka kuzalishwa nje lol!!. Ila tutasali na kuomba sana wasichukue tabia hiyo kutoka kwako au unasemaje Erotica?
 
i send this speacially for you cute and sweet paxie..

A life is changed in just an instant's time,
All darkness fled before that brillaint sun That shines
from spoken words of softest rhyme And speaks of treasures, only just begun.

I have a hope darl... a glimmer, a light in the distance, like a house calling you home.
I love you like medicine to a wounded soul...
 
Yupo mmoja tu mwenye hizo sifa, ila bahati mbaya yuko jela, msubili kidogo tu. TUNTEMEKE
 
Erotica mbona umeminya swali langu bana!? LOL!...Yule aliyeumia nanihii kwanini hutaki awe Baba watoto wako!? hapigi mashuti makali makali au anapiga mipira iliyopoa kiasi ambacho golikipa anaidaka kirahisi!? Usiniminyie swali langu banaaa!!!!

 
Last edited by a moderator:
This is REAL world,ie the world of adventure,experience and guilty.You dont therefore qualify to dwell in this world since you claim to be the beautiful one. IDEAL world,the world of fullfilment,innocence and plenitude which seduces our fantasies is that which you claim to deserve despite its unrealistic existence.
 
Basi achana na Bishanga, kwanza anaweza ku-brain konkesheni bure akiwa juu ya kifua,, Babu wa watu...

Mnanisengenya eh? Kwa taarifa yenu bishanga niko fom fo azania.
Halafu we erotica wewe ushawahi kupigwa KT?
 

mwenyewe kwana hata asilimia 0.5 ya sifa ulizozitaja huna, unataka wa ukweli? hamuendani
 
Erotica taratibu mama yaani nimeangalia hiyo List ya hao unaotamani wawe baba Chanja wangu yuko hapo
Naona dalili za kupokonywa tonge mdomoni Kaunga naomba mwambie Erotica speed zake mama..zinatisha..
Ni juu ya nini kutesana kihisia mapema hii...
 
Last edited by a moderator:

Ndahani kirusha roho kama unaelewa yote haya si ndio nipe maujanja?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…