Ndahani kirusha roho kama unaelewa yote haya si ndio nipe maujanja?
Njoo kwangu nikupekitu ili huyo mtoto arithi akili zangu tu, ujanja, hekima, ucheshi, vurugu n.k atarithi kwa hao akna Rejao, Mzee mwanakijiji na wengineo maana najua urithi mzuri ni wa akili tu. Sasa mbona wewe hujasema watoto watarithi nini kutoka kwako. Nina wasi wasi kama mtoto/watoto wakizaliwa wa kike wanaweza kurithi hiyo tabia yako ya kutaka kuzalishwa nje lol!!. Ila tutasali na kuomba sana wasichukue tabia hiyo kutoka kwako au unasemaje Erotica?
Erotica mbona umeminya swali langu bana!? LOL!...Yule aliyeumia nanihii kwanini hutaki awe Baba watoto wako!? hapigi mashuti makali makali au anapiga mipira iliyopoa kiasi ambacho golikipa anaidaka kirahisi!? Usiniminyie swali langu banaaa!!!!
Mnanisengenya eh? Kwa taarifa yenu bishanga niko fom fo azania.
Halafu we erotica wewe ushawahi kupigwa KT?
nimekwama mana mi kauzu zaidi ya dagaa.
Erotica hahahah Ngoja Ndahani aje mwenyewe atoe majibuFirstLady1 watarudi in one pic, mie nahitaji mbegu tu.
of coz ikiambatana na starehe wakati wa kupandikiza. 😛oa
Alafu Ndahani kakugongea like, ndie yeye? say no. utaniumiza mamito.
BAK Boyfie nilimchagua kwa vigezo viwili. kwanza he can do it na pili muelewa.
there is mo to life than sex, nje ya sex yeye ni useless kabisa. sitaki wanangu wawe usless waweze tu sex.
Una vituko wewe...how did you the second before first...ulianza kwanza kazi bila kupata assessment ya nje yukoje?
Ndahani umeona sasa ukweli ulivojitenga. wewe nipo kasi wewe mwendo waMbona wewe umenizidi ujanja tena kwa mbaali kabisa...mi mwendo wa kinyonga ntaweza hizo speed za wakimbia marathon kama wewe? Mzima lakini? Hujaota tena ile ndoto ambayo ulikuwa una cheat?
Ndahani umeona sasa ukweli ulivojitenga. wewe nipo kasi wewe mwendo wa
kinyonga. a perfect fit. Na hivi umeniuliza afya yangu roho imeongezeka kasi ya boom boom boom.
na toka uanze kunirusha roho ndoto zimeacha. ni wewe tu nakuona nikisinzia.