Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

Namtafuta baba watoto wangu. Donge nono & SEXY digits Litatolewa!!!

Hello nina omba unipe nafasi, naamini vigezo hivyo ulivyoweka vyote napangua na nina extra ya hivyo.
I think it is the only chance I had been waiting for from you.....
P/S: Think twice b4 you count on others! me loviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii u exquisitely Erotica aaah...!

Paxman you cute and sweet man wea have you been?

wewe nilisha kuorodhesha no worry, U think i have to think twice? once is enough. mwaaaaaah. Umeniletea zawadi?
 
Last edited by a moderator:
Nimepata kama wawili hivi mmoja wao Kiranga, ila ananiletea pozi, sijui ndio

kusema kaniona beneath him? teh teh teh. Ikishindikana kabisa nakuja kwako tutengeneze hio cocktail.

Mhhhhhh,

Mdogo wangu wewe...mbona unamchuuza babu wa watu...Meno yote kwishnei...ataiweza nyama?

Babu DC!!
 
Kiranga kuna tofauti kati ya kula kila kitu na kukagua kila kitu.

hata hivo i have the right ingredients, kitu chenye sumu automatikali kina pungua

makali kifikapo kwangu, hakiwi sumu tena, kinakuwa dawa. try me...........

Kila la heri. Mie nina mipango ya kuwa monk nipande milima ya Himalaya kama Wilfred Moshi, nikatafsiri Dhammapada na majuzuu mengine kwenda Kiswahili bila wazo la familia.

Samahani sijakuwa na uwezo wa kukukidhi.
 
Mhhhhhh,

Mdogo wangu wewe...mbona unamchuuza babu wa watu...Meno yote kwishnei...ataiweza nyama?

Babu DC!!


Babu DC technologia imekua sasa, hatukomoani, nyama namsagia kabisa, yeye ni kumeza tu.
 
@Erot, Erotica, mmmh! Toto weee, mashallah! upoooo
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. KIKUNGU ar u applying?

Mmh Erotica,mbona mwenzio ni kibogoyo hata meno sina maana niki-apply najua nitapata maana dada Kaunga kama yupo pembeni yako basi nitapata ila nae aweza nisemea kwa mama kwani niko minor(under 18) te te te te
 
Kila la heri. Mie nina mipango ya kuwa monk nipande milima ya Himalaya kama Wilfred Moshi, nikatafsiri Dhammapada na majuzuu mengine kwenda Kiswahili bila wazo la familia.

Samahani sijakuwa na uwezo wa kukukidhi.


Mtoto wangu mmoja ataitwa Kiranga. ili aje asome hizo tafsiri, jua kuwa monk kuna mitego mingi kabla

hujapokelewa usikate tamaa kama yule kaka aliekaa siku saba nje ya lango la mabudha bila chakula akinyeshewa

mvua 24/7 bila kukata tamaa wala kula kitu chochote kile. Usiombe samahani tumebaki na

scholars wachache wa kuja kutambuliwa vizazi vijavo kawma vile akina Dalai Lama.

Tukipata mtz mmoja wapo not bad. Mwaaaaaaaah. najikaza tu kuroho kuna choma.
 
duh.! Huyo jamaa ni mwanaume wa kipekee amekubali ukamimbe nje!!!!
 
niambie mrembo.unataka nini? Kipi kinakusumbua? Erotica
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom