Mi nimekupa taarifa ninayoifahamu fanya unavyoona inafaa.Naifaham hiyo shule lakini hii taarifa nimeopost sehemu nyingi wengekua wahusika wabgenitafuta maana dunia kiganjan otherwise waogope kwa kuhis nataka kitu kutoka kwao kiukweli huyo kalilo nikimpata kama atakua hai dakika 10 za kukaa nae na kumuuliza baadhi ya maswali kadhaa zitatosha kabisa.
Nahis ni jina FAKE maana kwa jinsi nilivyomtafuta angekua kapatikana kuna muda nahis labda hayupo dunian
AmenPole sana Mungu akupe hitaji la moyo wako
Ahsante kwa ushauri dear ni kweli likuepukalo lina kheri na wewe mimi nilitaka tu kumfahamu na sio kwamba nataka ukaribu nae au familia yake hapanaNakushauri ach kumtafuta, endelea na maisha yako, nina ndugu yngu baba yake alimtelekeza kalelewa na mama na bini yake, akikaa kwa bibi maana ndiye alimpemda sana sana, sasa baada ya bibi yake kufariki, wajomba wakamforce mama yake amtafute huyo mzee alipo
Alimpata, akiishi kisela na watoto watatu maana mke wake alikuwa amefariki, yule mzee akaona fursa ili alee mtoto mama mtu amrudie la sivyo kila mtuu aendelee na maisha yake, mtoto ikabidi abaki ujombani, kasomeshwa hadi nje ya nchi na sasa hivi ana maisha
Last year Dec akaamua kutafuta huyo mzee, through connections akafahamu alishafiriki since 2009, na kabla ya kufariki aliwaacha wale watoto wadogo wajilee alenda kuoa sehemu nyingine…akakutana na ndugu yake mmoja, siku ya kwanza tuu kumuona ni vizinga, huku akilaumu shangazi zake wamemuua mdogo wake baada ya mzee wao kufa kishirikina
Akakutana na hao ndugu wengine wajomba na mashangazi, daah ni umasikini na ushirikina tupu, dhiki tupu.
Ilibidi awekwe kikao aambiwe achana na hiyo familia, Mungu alikuwa na mipango yake na wewe…
hivyo nakushauri pia…hii ilikuwa ni mpango toka upo tumbo la mama yako, acha endelea ma maisha yako, la sivyo utavunja code na utapata unachokitafuta. Muombee kama yuko hai, a/wangekutafuta kama walikuwa wanakuhitaji
Ahsante kwa ushauri dear ni kweli likuepukalo lina kheri na wewe mimi nilitaka tu kumfahamu na sio kwamba nataka ukaribu nae au familia yake hapana
Kina mama Huwa wanakosea sana,wakimchukia baba mtoto wanna siriba kila kitu matokeo yake mtoto akikua na kupata changamoto anakosa msaada ,Kuna misaada mingine haipatikani kanisani Wala msikitini bali ukoo aliotoka mtu!!Naifaham hiyo shule lakini hii taarifa nimeopost sehemu nyingi wengekua wahusika wabgenitafuta maana dunia kiganjan otherwise waogope kwa kuhis nataka kitu kutoka kwao kiukweli huyo kalilo nikimpata kama atakua hai dakika 10 za kukaa nae na kumuuliza baadhi ya maswali kadhaa zitatosha kabisa.
Nahis ni jina FAKE maana kwa jinsi nilivyomtafuta angekua kapatikana kuna muda nahis labda hayupo dunian
🙏Pole sana Mkuu. Kila la heri kwako.
🙏Mungu akufanyie wepesi juu ya jambo linalo kutatiza.
😆Ila humu unaweza kuta historia ya maisha yako ambayo wewe pia huijui🤣
Safari bado😢Leo tena
Kahama mbona sio mbali Dada kaza mwendo utampata dingiiiiiSafari bado😢
Hili jina Kalilo sijui kama lina uhusiano ila kuna mtu kahama namfahamu ni fundi simu pia anaitwa kalilo japo hawezi kuwa yeye ila inaweza kuwa ni ukoo tu , kama sikoseiSijawahi kwakua dunia kiganjan nimeona nimtafutie mtandaon hata kama yeye atakua hayupo humu bhas familia au watu wanaomfaham watamwambia
Yupo sehemu gani kahama?Hili jina Kalilo sijui kama lina uhusiano ila kuna mtu kahama namfahamu ni fundi simu pia anaitwa kalilo japo hawezi kuwa yeye ila inaweza kuwa ni ukoo tu , kama sikosei
Sokoni mhungula karibu na malebas barYupo sehemu gani kahama?
Mhungula iko sehemu gani ni kahama mjini? Nikija Tz nitajitahid nifike japo sina uhakika kama atakua na uhusiano maana nimewahi kuwasiliana na mjukuu anaehusiana na jina la kalilo lakini hakua anamfaham huyu nae mtafuta mpaka picha ya babu yake alinitumia lkn hakua anamfaham gervas kwa sasa huyo mzee ni marehemu na huyo kijana niliwasiliana nae miaka 11 iliyopita ni watu wa kigoma afu ni muslim family na huyu nae mtafuta ana jina la kikirsto hivyo sina uhakika ni jina lake halisi au alimdanganya marehemu mama kama naweza kupata namba ya huyo tunaehisi anaweza kua mwanafamilia itakua vzr na nitashukru maana lengo ni kumuuliza tu kama ana uhusiano na Gervas Kalilo ninae mtafuta mimi.Sokoni mhungula karibu na malebas bar
Ukweli ni kwamba labda ikitokea nimerudi kahama basi nitafika kuomba namba ili uwe kuulizia zaidi , na mimi nipo nje ya Kahama , Mungu atafanya tuMhungula iko sehemu gani ni kahama mjini? Nikija Tz nitajitahid nifike japo sina uhakika kama atakua na uhusiano maana nimewahi kuwasiliana na mjukuu anaehusiana na jina la kalilo lakini hakua anamfaham huyu nae mtafuta mpaka picha ya babu yake alinitumia lkn hakua anamfaham gervas kwa sasa huyo mzee ni marehemu na huyo kijana niliwasiliana nae miaka 11 iliyopita ni watu wa kigoma afu ni muslim family na huyu nae mtafuta ana jina la kikirsto hivyo sina uhakika ni jina lake halisi au alimdanganya marehemu mama kama naweza kupata namba ya huyo tunaehisi anaweza kua mwanafamilia itakua vzr na nitashukru maana lengo ni kumuuliza tu kama ana uhusiano na Gervas Kalilo ninae mtafuta mimi.
SawaKahama mbona sio mbali Dada kaza mwendo utampata dingiiiii
Sawa ShukranUkweli ni kwamba labda ikitokea nimerudi kahama basi nitafika kuomba namba ili uwe kuulizia zaidi , na mimi nipo nje ya Kahama , Mungu atafanya tu