Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
KabisaaaKwa kweli aisee... Usijekuona mwanamke mzurii shape analoo lakini anachomwa na jua kwa kudanga haolewii... sasa wewe jichanganye ubebe uweke ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna rangi ya hasira na maumivu utaacha onaa walahii...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana unaambiwa kosea kujenga utabomoa sio ukosew kuoa utajuuuta
Sent using Jamii Forums mobile app