Mkuu
Zamazamani try to be gentlemen. Umetoa Codes zote kumuhusu huyo malikia, jambo ambalo linaweza kumuhatarishia ndoa yake iwapo mume wa huyo bibie atapita hapa.
To all ladies here and there, mnapokuwa mna date na mtu hata kama ni ile one night stand while you are married woman mjitahidi kuwasitiri waume zenu. Pia mjitahidi kuepuka kunywa kilevi hasa unapokuwa na mtu strange kwako. Unaweza kunyweshwa pombe na kujikuta unafanyiwa vitendo vya aibu kama kurecordiwa picha za mnato na wakati mwengine kuliwa Tigo bila ridhaa yako. Lakini kubwa zaidi unaweza kukuta unaambukizwa magonjwa au kuuwawa.
Be the Change.