Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

Nilikutana na huyu msichana mrembo na decent kwelikweli baada ya misa ya Jumatano ya Majivu kipindi hiiki cha Kwaresma pale St Peters .Nilikuwa nawasha gari ili niondoke nikamuona anashangaashangaa pale parking nikamtania kwamba yeye ni mwanakondoo mwenzangu hivyo naweza nikamdrop huko anakokwenda akasita kidogo lakini akakubali.Tulipofika Morocco nikamwambia nina hisi njaa tupitie kontena kwa rasta pale Mikocheni ili tukapate chochote, akasita kidogo akidai yeye ni mke wa mtu hivyo anataka kuwahi familia..lakini baada ya kumbembeleza sana akakubali.Tukaagiza kitimoto choma na ndizi choma, yeye akaagiza soda na mimi maji makubwa.Baadaye kidogo nikaona isiwe tabu nikaagiza KVant ndogo na yeye akasema huwa anakunywaga wine lakini siyo kwa siku ile akidai kwamba ni siku takatifu halafu mumewe hawezi kumuelewa ....nikambembeleza sana sana na kutoa mifano ya kwamba kwa sisi wakatoliki hata mapadre wanaakunywa wine itakuwa sisi wanakondoo?kabla hajashnagaa chupa ya Dompo ikawa tayari mezani inafunguliwa...akaubali kwa shingo upande akisema atakunywa ka glasi kamoja tu....stori zikaanza kunoga..mara glasi ya pili ,ya tatu ...akiwa anakwenda toilet mi namchanganyia na Kvant kidogo kwenye glass yake(niliongeza chupa ndogo za KVant mbili)....stori zikanoga na uchangamfu ukaongezeka....akaanza kumkandia mumewe kichizi...stori zikanoga...akaanza kuongea huku ananishika shika..aibu ikatoweka...baada kuona ameshaelekea kibra..nikamwambia tuondoke tukajihifadhi ili awahi home manake ilishakuwa mida ya saa mbili na nusu usiku.Tukaingia kwenye gari tukapigana kiss za kufa mtu na kunawa kwa sana...nikaja gundua ameshalowana sana kule chini....nikamwambia pale ni parking kuna watu watatuona twenzetu haraka....tukaenda lodge ya karibu tukafanya yetu mpaka saa nne na nusu hivi....ila niligundua alikuwa na ukame wa muda mrefu na yeye alinithibitishia hivyo( ndoa hizi ni balaa) huwa hatoshelezwi na mumewe ....basi baada ya mechi akawa anajuta sana kwa kuchelewa nyumbani manake alikuta missed calls nyingi tu za mumewe...nikamkimbiza pale Sayansi ili achukue Taxi ili arudi kwake Africa Sana ,Mwenge.Sasa kosa kubwa nililolifanya sikuchukua namba yake ya simu....ila katika stori alinambia naye ni mwana JF naomba RMJ kama ukisoma ujumbe huu tuwasiliane PM kwani nataka kujua nini kilitokea pia mautundu yako niliyakubali na pia tuliongea mengi...imenibidi nikutafutie humu sababu juhudi zangu za kuja pale kanisani hazijazaa matunda mpaka leo..

Siku ya Jumatano ya majivu....mkazini! Kweli dunia imetoboka, so mlienda kanisani kufanya nini sasa
 
Potezea hiyo issue ya namba na mazoea chukulia kama starehe ya siku moja usijipagawashe matumizi yataongezeka siyo muda mrefu.
 
Huyu mtu wala sio Mkristo wala Mkatoliki. Anajaribu ku-provoke watu. Kwamba jumatano ya majivu watu(wakiwemo wanandoa) wanaenda kanisani na wakitoka wanaendeleza uzinzi. Hata iweje mtu akifanya uovu kama huo hawezi kuja kusimulia mtandaoni hata kama hujulikani.
 
Dah..halafu ukute robo ya wanaume wa JF wake zao walirudi baada ya saa nne na nusu usiku ile siku ya majivu....wanakomaje? ....btw...ulitumia ndom?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Hakuna kitu kama hivi, huyu anakashifu dini za watu kiaina tu.
Huyu ana-provoke watu hana lolote.
Huyu mtu wala sio Mkristo wala Mkatoliki. Anajaribu ku-provoke watu. Kwamba jumatano ya majivu watu(wakiwemo wanandoa) wanaenda kanisani na wakitoka wanaendeleza uzinzi. Hata iweje mtu akifanya uovu kama huo hawezi kuja kusimulia mtandaoni hata kama hujulikani.
Hahahaha,

Mzee mwenzangu nimekuelewa vema

MTC | 101| [emoji769]
 
Wow..mkaenda kuyamaliza hayo yote mkiwa na majivu yenu kwenye paji la uso
This is amazing..interesting
Hizi ndoa za siku hizi hazina maana..mi nasemaga bila nakandiwa

Bila mtoa mada uko matatani kama umetaja maeneo halisi..

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya mambo yaone kama yalivyo kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi ni mlokole haswaaa, tulienda tunduma akataka kumbaka mdada wa usafi wa lodge tena asubuhi kabisa, nilishangaa sana
 
We nae umedanganywa umeamini, huo msemo hata waume za watu wanatuambia mara nyingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeamini wanaume wanapenda sana kudanganywa.
 
Ni ajabu sana halafu bila aibu unasema eti alikuambia ni mke wa mtu na anawahi kwake ukazidi kuomba duu
Halafu wanasema wanawake ni wabaya
Wazinzi na washenzi wengi ni wanaume kwa kweli
Una roho mbaya sana na wewe mke wako atachukuliwa tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Haya mambo yaone kama yalivyo kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi ni mlokole haswaaa, tulienda tunduma akataka kumbaka mdada wa usafi wa lodge tena asubuhi kabisa, nilishangaa sana


Hahhahaha mm wala siyashangai..!siyashangai kbs...!kuna mchungaji m1 maaarufu sana morogoro...yule ww jichetue una shida na ndoa yako..ana hela balaa...anachofanya anakufanya mkewe mdogo..shida zako zote anakutimizia...yaan anawala wamama wenye stress kweli kweli...ila anaangalia na muonekano..anamega vidada vibichiiiiiii
 
Mkuu kilichokufanya uamini kilichoandikwa ni nini!?? Kwanza maelezo yenyewe ni ya upande mmoja. Hakuna uthibitisho wowote kuonyesha km kweli alikuwa mke wa mtu. Maana hapa mjini kuna kila aina ya utapeli.

Kumbuka mdada mwenyewe amekutana naye kanisani tena siku ya jtano ya majivu,ulitaka aseme nn ili kumlaghai huyu boss!?? Unajua km angesema yupo single thamani yake ingeshuka sana...hivyo huenda alisema ameolewa ili kujiongezea soko na kitendo cha kumponda mumewe ilikuwa sehemu ya igizo.

Lkn hata km kweli alikuwa ameolewa,kumponda mwanaume wala siyo issue kwa sababu mume mwenyewe hatajua. Atabaki anajua huyu ambaye anafanyiwa hayo ili atoe pesa zaidi. Na habari njema zaidi ni kwamba 79% ya wanawake ambao huwa wanachepuka,baada ya tendo lile huwa wanajuta! Hivyo akirudi nyumbani muda wote huwa wanajisikia wakosaji. Na hivyo kuongeza upendo kwa mume.


Sent using Jamii Forums mobile app
Atajua mwenyewe kama anaongopa
 
Back
Top Bottom