Mkuu kilichokufanya uamini kilichoandikwa ni nini!?? Kwanza maelezo yenyewe ni ya upande mmoja. Hakuna uthibitisho wowote kuonyesha km kweli alikuwa mke wa mtu. Maana hapa mjini kuna kila aina ya utapeli.
Kumbuka mdada mwenyewe amekutana naye kanisani tena siku ya jtano ya majivu,ulitaka aseme nn ili kumlaghai huyu boss!?? Unajua km angesema yupo single thamani yake ingeshuka sana...hivyo huenda alisema ameolewa ili kujiongezea soko na kitendo cha kumponda mumewe ilikuwa sehemu ya igizo.
Lkn hata km kweli alikuwa ameolewa,kumponda mwanaume wala siyo issue kwa sababu mume mwenyewe hatajua. Atabaki anajua huyu ambaye anafanyiwa hayo ili atoe pesa zaidi. Na habari njema zaidi ni kwamba 79% ya wanawake ambao huwa wanachepuka,baada ya tendo lile huwa wanajuta! Hivyo akirudi nyumbani muda wote huwa wanajisikia wakosaji. Na hivyo kuongeza upendo kwa mume.
Sent using
Jamii Forums mobile app