Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe MTU humjui, inaenda chooni umeacha kinywaji chako unataka akufanyie nini? Anaweza kukuwekea hata mkojo, urojoke akakufanye matusi hadi kwenye nyayo
Hii Story kama ya uongo uongo vile mmmh wine na K- Vanti mahoka
Long time no see u, where have u been?
..labda aliongea hayo "under the influence of....."!!Wanawake ambao wanawakandia waume zao huwa siwaelewi kabisa hivi ni lazima umkandie mume wako sababu umepata mwanaume mwingine tena wa mdamfupi tu?
Kama sio story aisee hizi Ndoa Mungu akaonekanee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sipati picha kama jamaa liechapiwa nae yupo humuuuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumdunda ila siku hiyo angechezea za kutosha, hadi angeenda kutoa ushuhuda kwa shoga zake kwa kilichompata.Wadada wa JF angalieni mijitu hata ya kuitunuku mbunye zenu. Unamtunuku hayawani, anakuchanganyia na k vant, ni Hatari sana watu wa namna hii.
Halafu anakuja JF anakutangaza na kueleza mliyoyafanya sirini.
Hivi kwa mfano mke wangu aje ananuka pombe, afike nyumbani ssaa tano usiku, si ntaunganisha tu dots.
Mbaya sana
Ukimdunda inasaidia Nini?Sijawahi kumdunda ila siku hiyo angechezea za kutosha, hadi angeenda kutoa ushuhuda kwa shoga zake kwa kilichompata.
Yaani mke anakujia saa tano usiku huku ananuka mipombe, halafu hujui hasa alikuwa wapi, dadeq siku hiyo angeona upande wa pili wa shilingi.
👏👏👏Mkuu Zamazamani try to be gentlemen. Umetoa Codes zote kumuhusu huyo malikia, jambo ambalo linaweza kumuhatarishia ndoa yake iwapo mume wa huyo bibie atapita hapa.
To all ladies here and there, mnapokuwa mna date na mtu hata kama ni ile one night stand while you are married woman mjitahidi kuwasitiri waume zenu. Pia mjitahidi kuepuka kunywa kilevi hasa unapokuwa na mtu strange kwako. Unaweza kunyweshwa pombe na kujikuta unafanyiwa vitendo vya aibu kama kurecordiwa picha za mnato na wakati mwengine kuliwa Tigo bila ridhaa yako. Lakini kubwa zaidi unaweza kukuta unaambukizwa magonjwa au kuuwawa.
Be the Change.
Kwa kweli aisee... Usijekuona mwanamke mzurii shape analoo lakini anachomwa na jua kwa kudanga haolewii... sasa wewe jichanganye ubebe uweke ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna rangi ya hasira na maumivu utaacha onaa walahii...Ndoa ni nzuri iwapo utampata mwanamke sahihi anejitambua na anajua nafasi yake kama mke sasa huyo alochapiea alikosea kuoa limbukeni...huwezi kusema alioa mke...mwanamke ambae unakutana na mtu humjui unaanza kuzunhumza udhaifu wa mumeo na k unampa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee yani ni ngumu kuamini lakini Mkuu mwanamke akiwa na stress hili linawezekanaa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Pole yako yaan umedanganywa kweupe, huyo ni changu tu wa kitaa, mtu unaishi Africa sana unasari st peter bila sababu, yaan we ndo umecjezewa tu huyo ni malaya wa ambianceNilikutana na huyu msichana mrembo na decent kwelikweli baada ya misa ya Jumatano ya Majivu kipindi hiiki cha Kwaresma pale St Peters .Nilikuwa nawasha gari ili niondoke nikamuona anashangaashangaa pale parking nikamtania kwamba yeye ni mwanakondoo mwenzangu hivyo naweza nikamdrop huko anakokwenda akasita kidogo lakini akakubali.Tulipofika Morocco nikamwambia nina hisi njaa tupitie kontena kwa rasta pale Mikocheni ili tukapate chochote, akasita kidogo akidai yeye ni mke wa mtu hivyo anataka kuwahi familia..lakini baada ya kumbembeleza sana akakubali.Tukaagiza kitimoto choma na ndizi choma, yeye akaagiza soda na mimi maji makubwa.Baadaye kidogo nikaona isiwe tabu nikaagiza KVant ndogo na yeye akasema huwa anakunywaga wine lakini siyo kwa siku ile akidai kwamba ni siku takatifu halafu mumewe hawezi kumuelewa ....nikambembeleza sana sana na kutoa mifano ya kwamba kwa sisi wakatoliki hata mapadre wanaakunywa wine itakuwa sisi wanakondoo?kabla hajashnagaa chupa ya Dompo ikawa tayari mezani inafunguliwa...akaubali kwa shingo upande akisema atakunywa ka glasi kamoja tu....stori zikaanza kunoga..mara glasi ya pili ,ya tatu ...akiwa anakwenda toilet mi namchanganyia na Kvant kidogo kwenye glass yake(niliongeza chupa ndogo za KVant mbili)....stori zikanoga na uchangamfu ukaongezeka....akaanza kumkandia mumewe kichizi...stori zikanoga...akaanza kuongea huku ananishika shika..aibu ikatoweka...baada kuona ameshaelekea kibra..nikamwambia tuondoke tukajihifadhi ili awahi home manake ilishakuwa mida ya saa mbili na nusu usiku.Tukaingia kwenye gari tukapigana kiss za kufa mtu na kunawa kwa sana...nikaja gundua ameshalowana sana kule chini....nikamwambia pale ni parking kuna watu watatuona twenzetu haraka....tukaenda lodge ya karibu tukafanya yetu mpaka saa nne na nusu hivi....ila niligundua alikuwa na ukame wa muda mrefu na yeye alinithibitishia hivyo( ndoa hizi ni balaa) huwa hatoshelezwi na mumewe ....basi baada ya mechi akawa anajuta sana kwa kuchelewa nyumbani manake alikuta missed calls nyingi tu za mumewe...nikamkimbiza pale Sayansi ili achukue Taxi ili arudi kwake Africa Sana ,Mwenge.Sasa kosa kubwa nililolifanya sikuchukua namba yake ya simu....ila katika stori alinambia naye ni mwana JF naomba RMJ kama ukisoma ujumbe huu tuwasiliane PM kwani nataka kujua nini kilitokea pia mautundu yako niliyakubali na pia tuliongea mengi...imenibidi nikutafutie humu sababu juhudi zangu za kuja pale kanisani hazijazaa matunda mpaka leo..
Pole mkuu,...Ndio dada zetu hawa, tena wa JF...
Mimi tangu nitombew.e sina hamu nao kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee hivi huwa ni nini unamuacha mumeo uchi kabisa hata kama ana mapungufu yake ebu jaribu kuyaficha ongeeni tu mambo yenu yaliyowakutanisha
Kukutana tu siku moja kila kitu umeshamwambia huyo mwanaume
Mkuu kilichokufanya uamini kilichoandikwa ni nini!?? Kwanza maelezo yenyewe ni ya upande mmoja. Hakuna uthibitisho wowote kuonyesha km kweli alikuwa mke wa mtu. Maana hapa mjini kuna kila aina ya utapeli.Wanawake ambao wanawakandia waume zao huwa siwaelewi kabisa hivi ni lazima umkandie mume wako sababu umepata mwanaume mwingine tena wa mdamfupi tu?