Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

Wanawake ambao wanawakandia waume zao huwa siwaelewi kabisa hivi ni lazima umkandie mume wako sababu umepata mwanaume mwingine tena wa mdamfupi tu?
Mbona hata wewe huwaga unanikandia baby? Sema mimi ni mstaarabu nakuhifadhi tu.

kutoka: 22D Arnold st.
 
Nigga you are full of shit.

Ungeweza kuishia pale kwenye kuagiza kitimoto bila kusema kama ni mke wa mtu na akakufuata huko pm.

Kwakua ujinga ni kipaji ukaona umalizia hatua tisa zote.

Hii ni chai. Hakuna mwanaume anayehadithia hivi.
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu mno mno yani mno..mm natembelea sana maeneo ya stendi hapa tabora yan unakuta mdada ni mke wa mtu ametoka labda dar anafikia hapa tabora ili aunganishe mpanda au kigoma...yan ukishajua tu hana ndugu hapa bas..ww kazi yako ni kumnunulia tu chakula unamdanganya kidogo basi lazima uondoke nae ukamchampe unavyotaka..bas hawa ma agent wa stend ndio wanawachapa sana yan sana..alafu kirahisi tu dah wanawake sijui ni kwanin ni dhaifu sana..
 
Nilikutana na huyu msichana mrembo na decent kwelikweli baada ya misa ya Jumatano ya Majivu kipindi hiiki cha Kwaresma pale St Peters .Nilikuwa nawasha gari ili niondoke nikamuona anashangaashangaa pale parking nikamtania kwamba yeye ni mwanakondoo mwenzangu hivyo naweza nikamdrop huko anakokwenda akasita kidogo lakini akakubali.Tulipofika Morocco nikamwambia nina hisi njaa tupitie kontena kwa rasta pale Mikocheni ili tukapate chochote, akasita kidogo akidai yeye ni mke wa mtu hivyo anataka kuwahi familia..lakini baada ya kumbembeleza sana akakubali.Tukaagiza kitimoto choma na ndizi choma, yeye akaagiza soda na mimi maji makubwa.Baadaye kidogo nikaona isiwe tabu nikaagiza KVant ndogo na yeye akasema huwa anakunywaga wine lakini siyo kwa siku ile akidai kwamba ni siku takatifu halafu mumewe hawezi kumuelewa ....nikambembeleza sana sana na kutoa mifano ya kwamba kwa sisi wakatoliki hata mapadre wanaakunywa wine itakuwa sisi wanakondoo?kabla hajashnagaa chupa ya Dompo ikawa tayari mezani inafunguliwa...akaubali kwa shingo upande akisema atakunywa ka glasi kamoja tu....stori zikaanza kunoga..mara glasi ya pili ,ya tatu ...akiwa anakwenda toilet mi namchanganyia na Kvant kidogo kwenye glass yake(niliongeza chupa ndogo za KVant mbili)....stori zikanoga na uchangamfu ukaongezeka....akaanza kumkandia mumewe kichizi...stori zikanoga...akaanza kuongea huku ananishika shika..aibu ikatoweka...baada kuona ameshaelekea kibra..nikamwambia tuondoke tukajihifadhi ili awahi home manake ilishakuwa mida ya saa mbili na nusu usiku.Tukaingia kwenye gari tukapigana kiss za kufa mtu na kunawa kwa sana...nikaja gundua ameshalowana sana kule chini....nikamwambia pale ni parking kuna watu watatuona twenzetu haraka....tukaenda lodge ya karibu tukafanya yetu mpaka saa nne na nusu hivi....ila niligundua alikuwa na ukame wa muda mrefu na yeye alinithibitishia hivyo( ndoa hizi ni balaa) huwa hatoshelezwi na mumewe ....basi baada ya mechi akawa anajuta sana kwa kuchelewa nyumbani manake alikuta missed calls nyingi tu za mumewe...nikamkimbiza pale Sayansi ili achukue Taxi ili arudi kwake Africa Sana ,Mwenge.Sasa kosa kubwa nililolifanya sikuchukua namba yake ya simu....ila katika stori alinambia naye ni mwana JF naomba RMJ kama ukisoma ujumbe huu tuwasiliane PM kwani nataka kujua nini kilitokea pia mautundu yako niliyakubali na pia tuliongea mengi...imenibidi nikutafutie humu sababu juhudi zangu za kuja pale kanisani hazijazaa matunda mpaka leo..
Ukiambiwa uingie dini ya haki unalani, misikitini hatuna ujinga huo.
 
Kweli aisee hivi huwa ni nini unamuacha mumeo uchi kabisa hata kama ana mapungufu yake ebu jaribu kuyaficha ongeeni tu mambo yenu yaliyowakutanisha

Kukutana tu siku moja kila kitu umeshamwambia huyo mwanaume
Wengi wenu ndo mlivo mkifikishwa kwenye mautamu, mimi kuna mke wa mtu alinambia ilikuwaje acherewe kukutana na mimi? Maana hajawahi kuona utamu wa dudu kauwona kwangu.
 
Back
Top Bottom