Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

Kabisaaa
Ndio maana unaambiwa kosea kujenga utabomoa sio ukosew kuoa utajuuuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisikiaga habari kama hizi nakata kabisa tamaa ya kuoa dadeq yani siku hio hio na mzigo kaliwa uyo mwanamke ana undugu na ibilisi

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
 
Wanawake ambao wanawakandia waume zao huwa siwaelewi kabisa hivi ni lazima umkandie mume wako sababu umepata mwanaume mwingine tena wa mdamfupi tu?
ukweli ni kwamba ukipata mgegedo mpya na style mpya mpyakutoka kwa mtu mpya lazima upagawe
 
Mkuu izzo naomba unitumie PM kama umo humu...sikupati kwa ID ya izzo.

Nina ujumbe wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…