Namtafuta binti huyu wa Humu JF Naomba Tuwasiliane

Hahaha nimekumbuka kitabu "msako wa hayawani" lol
 
Laana nyingi tunajitakia. Funga siku ya jumatano ya majivu. Ni amri sio chaguo. Na majivu yenu hamkufunga na ziadi mkafanya uzinzi.?!
 
Mkuu Zamazamani try to be gentlemen. Umetoa Codes zote kumuhusu huyo malikia, jambo ambalo linaweza kumuhatarishia ndoa yake iwapo mume wa huyo bibie atapita hapa.

To all ladies here and there, mnapokuwa mna date na mtu hata kama ni ile one night stand while you are married woman mjitahidi kuwasitiri waume zenu. Pia mjitahidi kuepuka kunywa kilevi hasa unapokuwa na mtu strange kwako. Unaweza kunyweshwa pombe na kujikuta unafanyiwa vitendo vya aibu kama kurecordiwa picha za mnato na wakati mwengine kuliwa Tigo bila ridhaa yako. Lakini kubwa zaidi unaweza kukuta unaambukizwa magonjwa au kuuwawa.

Be the Change.
 
Mi naona kama ulibaka vile, sex pasina ridhaa ni utumwa.

Careless whisper
 
Daaah...
Nimemuonea huruma mumewe!
Mwanamke siku ya kwanza unaishia guest?! Siri za mume anazitoa nje ili iwejee?! Apewe wine na kitimoto ndo sababu ya kusahau utu wa mwandani wako?!

Na wewe mleta uzi, uliona shida gani kusema unamtafuta mdada mlokutana misa ya majivu?! Jaribu kuficha ujinga wako!
 
Hahahaha

MTC | 101| [emoji769]
 
Mbaya sana mkuu
Huko ni kukosa kujiheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…