Namtafuta Dr. Elias J. Muganyizi

Namtafuta Dr. Elias J. Muganyizi

masalapa

Senior Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
138
Reaction score
67
Jamani, mwenye contacts za Dr. Elias J. Muganyizi naomba anipatie, mara ya mwisho nilionana naye kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopita Jimboni Karagwe. Ni muhimu sana bandugu
 
Back
Top Bottom