IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Hope utapata fununu za mahali alipoLeo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali inawezekanaje apotee kwa miezi mitatu kusiwe na kutafutwa na watu na wapenzinwake zaidi ya 26,000 kwenye Instagram??? Namtafuta Dudubaya na hapa naamini hapa jamvini ndio mahali pa kumpata akiwa hai au vonginevyo
Na huu nao ni msaada. AsanteKaripoti polisi kuwa Dudubaya amepotea(Missing person)
Dah!!!inatia simanzi sanaLabda yupo Segerea, nakumbuka kuna Chinga mmoja wenzake walisema kapotea, kumbe alikamatwa na mgambo wa jiji wakati anatembeza mazagazaga yake. Alikaa Segerea miezi minne, karandinga hakuna, siku aliyoletwa tena mahakamani hakimu akamuonea huruma akamwachia. Karudi uswahilini kwanza unaweza kucheka kabla hujamuonea huruma. Suruali kakata pensi, ndala miguu tofauti halafu zimechokaa, yaani nchini Tanzania watu wanaoneana sana.
Wezi wa punje za mchele wanauliwa huku mafisadi yakiachwa kutapanya pesaLabda yupo Segerea, nakumbuka kuna Chinga mmoja wenzake walisema kapotea, kumbe alikamatwa na mgambo wa jiji wakati anatembeza mazagazaga yake. Alikaa Segerea miezi minne, karandinga hakuna, siku aliyoletwa tena mahakamani hakimu akamuonea huruma akamwachia. Karudi uswahilini kwanza unaweza kucheka kabla hujamuonea huruma. Suruali kakata pensi, ndala miguu tofauti halafu zimechokaa, yaani nchini Tanzania watu wanaoneana sana.
Karipoti polisi wapate pa kuanzia. Anapoteaje mtu halafu huwaarifu polisi? Fanya hivyo kisha nenda kwa wana habariLeo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali inawezekanaje apotee kwa miezi mitatu kusiwe na kutafutwa na watu na wapenzi wake zaidi ya 26,000 kwenye Instagram??? Namtafuta Dudubaya na hapa naamini hapa jamvini ndio mahali pa kumpata akiwa hai au vonginevyo