IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Leo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali inawezekanaje apotee kwa miezi mitatu kusiwe na kutafutwa na watu na wapenzi wake zaidi ya 26,000 kwenye Instagram??? Namtafuta Dudubaya na hapa naamini hapa jamvini ndio mahali pa kumpata akiwa hai au vonginevyo