Namtafuta Dudubaya

Namtafuta Dudubaya

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
3,226
Reaction score
1,919
Leo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali inawezekanaje apotee kwa miezi mitatu kusiwe na kutafutwa na watu na wapenzi wake zaidi ya 26,000 kwenye Instagram??? Namtafuta Dudubaya na hapa naamini hapa jamvini ndio mahali pa kumpata akiwa hai au vonginevyo
 
Leo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali inawezekanaje apotee kwa miezi mitatu kusiwe na kutafutwa na watu na wapenzinwake zaidi ya 26,000 kwenye Instagram??? Namtafuta Dudubaya na hapa naamini hapa jamvini ndio mahali pa kumpata akiwa hai au vonginevyo
Hope utapata fununu za mahali alipo
 
Labda yupo Segerea, nakumbuka kuna Chinga mmoja wenzake walisema kapotea, kumbe alikamatwa na mgambo wa jiji wakati anatembeza mazagazaga yake. Alikaa Segerea miezi minne, karandinga hakuna, siku aliyoletwa tena mahakamani hakimu akamuonea huruma akamwachia. Karudi uswahilini kwanza unaweza kucheka kabla hujamuonea huruma. Suruali kakata pensi, ndala miguu tofauti halafu zimechokaa, yaani nchini Tanzania watu wanaoneana sana.
 
Dah!!!inatia simanzi sana
 
Wezi wa punje za mchele wanauliwa huku mafisadi yakiachwa kutapanya pesa
 
Nenda Polisi wakupe wale Mbwa wao wanaonusa nusa mtampata Mpendwa wenu.
 
Kama alishindwa kutoboa baada ya mnyonyaji ruge kurest, naamza kuwa na mashaka na kauli zake
 
Leo nimesikiliza habari mtandaoni kutoka kwa mtoto wa Dudubaya anayeitwa Maria kwamba baba yake amepotea tangu 13/08/2020. Wanajamii forums pamoja na tabia yake ya "kuwazodoa" watu mbalimbali inawezekanaje apotee kwa miezi mitatu kusiwe na kutafutwa na watu na wapenzi wake zaidi ya 26,000 kwenye Instagram??? Namtafuta Dudubaya na hapa naamini hapa jamvini ndio mahali pa kumpata akiwa hai au vonginevyo
Karipoti polisi wapate pa kuanzia. Anapoteaje mtu halafu huwaarifu polisi? Fanya hivyo kisha nenda kwa wana habari
 
Back
Top Bottom