Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber.
Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku langu bila kuvunja.