Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Hivi huyu Mama Big angelikuwa bado yu hai hadi hivi sasa angekuwa hajajitokeza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Mama Big angelikuwa bado yu hai hadi hivi sasa angekuwa hajajitokeza?
The Finest hahahaha........ rule namba 3 bana ya ISC ....... hebu mtoe bana Mama Big na wenzako wam'sabahi'
mweee mweee jaman.......kinanukia siyo?
mhh natamani ungemwambia wakat mpo face to face maneno haya sijui ugepewa majibu gan wewe dah!!!
ronga longa vyema na finest atakupa njia ya kumpata mama bg....BIGIRITA UPO?umeskia i maneno?pole
Hahahaahh Hapana ngoja nikuume sikio Babu yangu mdogo.............Babu mkubwa anaandaa mazingira ya kutotimiza rule..............hata akipewa ashee yeye anachomoa ili kesho aseme nyie mnamnyima na yeye hataki.Dah!!!! Ile rule for my case inabidi kuifanyia amendment upya, nitamtoa Mama Big for only special people nilitaka juzi kuanza na Babu kumbe babu yako bwana sijui ilikuwaje na kampeni zote zile mwisho wa siku ushindi chama tawala, sasa naangalia nimpe nani lakini hili swala tutajadili na yeye kwanza
Hahahaahh Hapana ngoja nikuume sikio Babu yangu mdogo.............Babu mkubwa anaandaa mazingira ya kutotimiza rule..............hata akipewa ashee yeye anachomoa ili kesho aseme nyie mnamnyima na yeye hataki.
Babu Achipirini shkang!!Mama Big anakusalimia

Kajukuu inakuwaje unatoa siri za babu yako hazarani namna hii?
Kajukuu inakuwaje unatoa siri za babu yako hazarani namna hii?
QUOTE=Rose1980;1233682]mweee mweee jaman.......kinanukia siyo?
mhh natamani ungemwambia wakat mpo face to face maneno haya sijui ugepewa majibu gan wewe dah!!!
ronga longa vyema na finest atakupa njia ya kumpata mama bg....BIGIRITA UPO?umeskia i maneno?pole
mweee mweee jaman.......kinanukia siyo?
mhh natamani ungemwambia wakat mpo face to face maneno haya sijui ugepewa majibu gan wewe dah!!!
ronga longa vyema na finest atakupa njia ya kumpata mama bg....BIGIRITA UPO?umeskia i maneno?pole
Sijaona hiyo siri.....
Sijaona hiyo siri.....
Kwamba ana panga lakini halina makali
Mzee unataka na wewe unuse nuse kufuli yake nini?
Kwamba ana panga lakini halina makali
Babu anawaangalieni tu.....
Sasa na wewe unasema kwa sauti watu wasikie. Kwani umemwona ndugu yangu? Usimwambie mtu hii siriMzee unataka na wewe unuse nuse kufuli yake nini?