Namtafuta Mama Big

Namtafuta Mama Big

Thanx....thanx....
Kwamba babu ana panga la zamani.....limeisha umebaki mpini.....(imethibitishwa na mmoja wa wajukuu zake)...na sio siri...

HA HA HA HA HA halafu ubovu panga lake sio chapa jogoo
 
Thanx....thanx....
Kwamba babu ana panga la zamani.....limeisha umebaki mpini.....(imethibitishwa na mmoja wa wajukuu zake)...na sio siri...

Babu ana mjukuu mmoja tu!
 
Babu zangu The Finest na Roya mnataka kunigombanisha na Babu mkubwa Asprin............................ kwani mie nilisema panga la babu halina makali?? Mnanisingizia wakati Mi nlisema tu kuwa halikati.

Babu eti Mama Big kanpa ugoro wako mkuletee!
 
Babu zangu The Finest na Roya mnataka kunigombanisha na Babu mkubwa Asprin............................ kwani mie nilisema panga la babu halina makali?? Mnanisingizia wakati Mi nlisema tu kuwa halikati na limekwisha, limebaki mpini tu.

Babu eti Mama Big kanpa ugoro wako mkuletee!

Mpelekee ugoro wake....asante kwa taarifa juu ya panga la babuyo....
 
Babu zangu The Finest na Roya mnataka kunigombanisha na Babu mkubwa Asprin............................ kwani mie nilisema panga la babu halina makali?? Mnanisingizia wakati Mi nlisema tu kuwa halikati.

Babu eti Mama Big kanpa ugoro wako mkuletee!

Kuna siku Roya aliniambia panga la babu yako wakati linakata ghafla likapinda ilibidi tuanze kuliangalia ni MADE in wapi, halafu nimeongea na Mama Big tukumkaribishe nyumbani kwetu babu yako japo alale kwa siku mbili wikiendi hii sasa naona kuna dalili za yeye kuingia mitini
 
Nadhani hiyo retreat itamfaa sana babu maana kama alivyoahidi Mama Big akitoka hapo kila mtu ni Athipirin........, athipirin.............Athipirin.....Athpirin
 
Babu zangu The Finest na Roya mnataka kunigombanisha na Babu mkubwa Asprin............................ kwani mie nilisema panga la babu halina makali?? Mnanisingizia wakati Mi nlisema tu kuwa halikati.

Babu eti Mama Big kanpa ugoro wako mkuletee!
Hebu waisha mapema, kuna watu wananikata stimu zangu.

Nimepewa dili la kumpigia kampeni Chenge achukue usipika upo tayari kupokea hongo?
Mambo ya Siasa tuwaachie Reggia na Kiranga. Sisi ni mazee ya malavidavi bana
 
Back
Top Bottom