Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.
Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu mzazi popote ulipo uisikie sauti yangu hii, Mama kwanini ulinitupa? Kwanini uliniacha peke yangu?