Umelewa visungura au?Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.
Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu mzazi popote ulipo uisikie sauti yangu hii, Mama kwanini ulinitupa? Kwanini uliniacha peke yangu?
Nini Tena mzee mwenzetu lethergo.Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.
Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu mzazi popote ulipo uisikie sauti yangu hii, Mama kwanini ulinitupa? Kwanini uliniacha peke yangu?
Aseme kwanza huyu wa sasa hv kamfanyia lipi baya?Nini Tena mzee mwenzetu lethergo.
POLE.
Hii dunia imebeba mengi Sana na usituone tunatembea mioyoni tumebeba MENGI.
Afafanue Huenda Alisikia WakiongeaDuuh kwa hio alikutupa angali ukiwa mdogo kachanga kabisa?
Mama ninaehisi ni Mama yangu kuna asilimia nyingi zinanionyesha sio Mama yangu kuna sauti kutoka ndani inaniambia huyu sio Mama yakoNini Tena mzee mwenzetu lethergo.
POLE.
Hii dunia imebeba mengi Sana na usituone tunatembea mioyoni tumebeba MENGI.
Sasa Sauti Hiyo Imekwambia Yupo Wapi ?Mama ninaehisi ni Mama yangu kuna asilimia nyingi zinanionyesha sio Mama yangu kuna sauti kutoka ndani inaniambia huyu sio Mama yako
Sauti means inner belief?, shida ni nini si umu ulize mzee wako?Mama ninaehisi ni Mama yangu kuna asilimia nyingi zinanionyesha sio Mama yangu kuna sauti kutoka ndani inaniambia huyu sio Mama yako
SMART GINIsije kuwa ime nyimwa chakula, ukaona ufungue uzi wa kutafuta sababu za kumchukia!
WE JINA LAKO SI UNAJIITA "LET HER GO=LETHERGO"Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.