Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

Ndacha ni KIBOKO jamani.

Sijawahi kuona Binadamu mwenye uwezo kama wake..

Ninamfuatilia mno
 
Screenshot_20230413-214308.jpg
 
Sadaka inatolewa hata kwa yatima na unaisemea maneno au wape wenye uhitaji hata mahospitalini. Labda kama unataka kumpa papa aibutue sema mbali na hapo sadaka ya kweli inatolewa popote penye uhitaji
 
Ndacha ni KIBOKO jamani.

Sijawahi kuona Binadamu mwenye uwezo kama wake..

Ninamfuatilia mno
Kabisa mimi sio msabato ila namkubali sana

Ana akili nyingi na uwezo wake wa kujenga hoja mkubwa mno

Akipatikana na mimi mnistue nimtumie sadaka yangu yeye mwenyewe
 
Sadaka inatolewa hata kwa yatima na unaisemea maneno au wape wenye uhitaji hata mahospitalini. Labda kama unataka kumpa papa aibutue sema mbali na hapo sadaka ya kweli inatolewa popote penye uhitaji
Sadaka tunapompa Mungu huwa hatutoi sababu Mungu ama uhitaji tunahitaji kubarikiwa naye
Sadaka sio kwa wahitaji tu
 
Sadaka inatolewa kwa nani hasa na kwenye biblia imeandika nini kuhusu sadaka. Naona unataka kumpa mchungaji sadakaaaa haya mtafute umpe ww na mleta mada atawafaidi sana
 
Mungu alimwambia Ibrahim amtolee sadaka

Mungu hakuwa na dhiki kuwa Ibrahimuanampa sababu Mungu ana shida

Kaxi ya sadaka ni zaidi ya kusaidia wenye shida

Kumpa pesa au chochote mwenye shida kunaitwa matendo ya huruma
 
Sadaka inatolewa kwa nani hasa na kwenye biblia imeandika nini kuhusu sadaka. Naona unataka kumpa mchungaji sadakaaaa haya mtafute umpe ww na mleta mada atawafaidi sana
Wwngine tulishazoea kuwapa tunaowaona wanatubariki tunawapa mkononi sadaka

Hatujaanza leo wala jana na tuko comfortable
 
Katoe sadaka Kwa Mayatima,Maskini,Wafungwa au Watu wasiojiweza Watakushukuru Na Kukuombea dua.Huyo Unayetaka Kumpa Sadaka Ana Pesa Nyingi Mpka anafanya Israfu
 
Mtu kabaka au jambazi au panya Road kafungwa kwa hiyo nimpelekee sadaka gerezani akaniombee?
Humo Humo Kuna Mtu Hajabaka Na Kafungwa.
Humo Humo Kwenye Hao Maskini pia Kuna Wauwaji.Msaidie Mtu Kutokana Na Hali yake Alokuwa Nayo
 
Back
Top Bottom