Namtafuta mpenzi wangu Valentina.....jf member

Namtafuta mpenzi wangu Valentina.....jf member

Ndio changamoto zakumalizana juu kwa juu bila kujua mawasiliano ya dharura ya mtu ikiwa mkipoteana,

Hivyo endelea kuandiaka andika jumbe kama hizi , pengine atasikia au kuna atakaye jua alipo nakumpelekea salamu zako ,

Ila kama watu wamesha fanya yao utaumia zaidi nakumiss kwako huko...[emoji16]
 
Back
Top Bottom