Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
bando si buku tuSiri ya mtungi eve bwanaa uajua mm nilikua nampenda kwelii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bando si buku tuSiri ya mtungi eve bwanaa uajua mm nilikua nampenda kwelii
akaaaa ningefanya maamuzi kama aliyoyafanya kukuachaKama ndio uwezo wanguu.😀😀😀
wewe usingepokea...?
Baby mrudishe mke wa watuMmh.
Kasema yupo pm kwangu aje tu amchukue mamy akikukuta wewe ummpe tu.Baby mrudishe mke wa watu
[emoji3][emoji3]Kasema yupo pm kwangu aje tu amchukue mamy akikukuta wewe ummpe tu.
Biringanya tena[emoji16]Hatari. Kwani huna ndugu wa kuweza kumuonyesha mapenzi yako ikifika hiyo tarehe ???
Kama huna jipende mwenyewe. [emoji533]
I miss youMmh.
Miss you too nyama yao...Njaa nuary naona imetufichaI miss you
Yaani na wewe tajiri una njaa? Mimi ndo nataka nikupige kizinga etiMiss you too nyama yao...Njaa nuary naona imetuficha
Sasa mbona unajichelewesha koki guruneti lirushe....Yaani na wewe tajiri una njaa? Mimi ndo nataka nikupige kizinga eti
Misamiati unayoongea leo mmmhSasa mbona unajichelewesha koki guruneti lirushe....
Na wewe mhenga haujui guruneti??Misamiati unayoongea leo mmmh
Mimi mhenga wa shambani. Nadhani hatuwezi kufanana na wewe wa kishuaNa wewe mhenga haujui guruneti??
Huu uhenga wa keyboard hapana.
TehMimi mhenga wa shambani. Nadhani hatuwezi kufanana na wewe wa kishua
Kuna mahali hivi nilijichimbia[emoji3]Teh
Haya bwana.
Ila mie nimejaa wewe ndiye umejichimbia sijui wapi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo kwangu usikonde nakutunzia