Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Siogopi changamoto za ndoa ndugu, kwani natambua hakuna mkamilifu na changamoto zipo tu. Jambo la msingi ni kupendana, kuheshimiana na kuvumiliana
 
Kweli wewe mhaya hiyo lugha ulivyoandika huku ihariri kabla ya kupost nawe huna sifa yoyote hujaweka wasifu wako inawezekana ukawa na miaka 42 .....jitambulishe
 
Kweli wewe mhaya hiyo lugha ulivyoandika huku ihariri kabla ya kupost nawe huna sifa yoyote hujaweka wasifu wako inawezekana ukawa na miaka 42 .....jitambulishe
Pole sana! Soma hadi mwisho
Makosa mengine ni ya kuchapaji tu ndugu.
 
Siogopi changamoto za ndoa ndugu, kwani natambua hakuna mkamilifu na changamoto zipo tu. Jambo la msingi ni kupendana, kuheshimiana na kuvumiliana
Kwa nini uliozaa nao hawakukuoa?
 
Siku ukijua kurekebisha hizo spelling errors zako utapata mume...jangiri ww
 
kwa hiyo sisi wa bukoba hatutakiwi? walikufanya nini ndugu zangu hawa?(in mama hela ya mboga voice)
 
Pombe inanikosesha vingi sana wallah....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…