Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Kumbe ww ni mpuuzi wa hadhi ya PHD.kwa faida yako na ya hao wanaotaka kumuoa tunampima uwezo wake wa kuhandle vikwazo.we wadhani nani aokote dubwana pasi kuwa na uhakika nalo
Haaaaaaa VP VETA mmefungua??
 
- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-

Sifa zangu

Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi

Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
RC siku hizi wengi sana wanatamani kuolewa. Ay ni wale masister wameamua kuachana na usister na kuamua kuwa WALEY?
 
- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-

Sifa zangu

Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi

Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
sema malengo yako ni nini hasa? unataka mume mulee watoto au mustareheshane?
 
We pumbavu kweli na vigezo vyako nani akuoe na mashariti yako ya kipuuzi muhaya amekuzalisha watoto wawili akakuacha ndo maana huwataki tena we lea watoto wako hakuna anayetaka kuoa mke wa mtu
 
Back
Top Bottom