DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Dini RC ndo dini gani hiyo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaaa VP VETA mmefungua??Kumbe ww ni mpuuzi wa hadhi ya PHD.kwa faida yako na ya hao wanaotaka kumuoa tunampima uwezo wake wa kuhandle vikwazo.we wadhani nani aokote dubwana pasi kuwa na uhakika nalo
RC siku hizi wengi sana wanatamani kuolewa. Ay ni wale masister wameamua kuachana na usister na kuamua kuwa WALEY?- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-
Sifa zangu
Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi
Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
Njoo PMNajiaandaa kuleta tangazo la kutafuta mwenza hapa, maana naona soni kumwambia nimpendae. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
AiseeeNajiaandaa kuleta tangazo la kutafuta mwenza hapa, maana naona soni kumwambia nimpendae. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
sema malengo yako ni nini hasa? unataka mume mulee watoto au mustareheshane?- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-
Sifa zangu
Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi
Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
Miss you [emoji7] [emoji7]Njoo PM
Aiseee
Leo ukuje bhanaMiss you [emoji7] [emoji7]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Miss you [emoji7] [emoji7]
Majukumu best, kwa leo sitaweza. Labda keshoLeo ukuje bhana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Majukumu best, kwa leo sitaweza. Labda kesho
Nimekuelewa sana mkuu, wewe ni genius!Ni uchapaji sio kuchapaji kilaza ww...