Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Mnaona mnazeeka ndio mnajinadi.maji ya shingo sasa.ulikwama wapi siku zote,kwa umri wako kila mwanaume ana mwenza wake.
 
Hata mimi niliangalia kwa jicho la hangover nikafikiri ni wewe swaiba.
Hahahahaaa. Sio mimi Swahiba na ndio sababu nikashawishika kutia neno. Sababu watu wa humu hawachelewi.

Toka nijiunge humu Ki Id changu ni hicho hicho sijawahi kukatafutia msaidizi. Napambana nacho tu.

Ila nimecheka duuh. "Eti jicho la hangover" lol
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa swaiba, hangover nimegundua sio nzuri kabisa, na ndo kigezo muhimu pekee nilichokosa kutoka kwenye list ya robotatu wajina wako
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa swaiba, hangover nimegundua sio nzuri kabisa, na ndo kigezo muhimu pekee nilichokosa kutoka kwenye list ya robotatu wajina wako
Hahaaa. Na sio zuri kweli aiseee.

Inabidi ukikaa sawa urudie kupitia upya vile vigezo huenda Wajina wangu akapata wa faraja yake. Hahahaaaa.
 
Kama hutumii vilevi vya kawaida basi utakua unapenda sana chini...umenikosa
 
Hii ID ya mleta mada, post yake ya kwanza aliniquote mimi kwa kunisalimia majira ya mchana kwenye uzi wa GENTAMYCINE.

Nilipoiona nikashtuka, nikasema hii ID ya nani, mbona anaonekana ananijua? Nikafungua profile nikakuta ndio post ya kwanza kunisalimu mimi.

Nikarudi kutafakari tena, Huenda ni Dada yangu ''emmyta" na ameamua kupanua wigo wa uhuru humu jamvini.

Nikakimbilia PM kumuuliza ili nipate uhakika wa nilichokifikiria, lakini sijajibiwa.

Sasa ghafla, baada ya kurejea tena humu nikakutana na hili bandiko. Nikaendelea kujiuliza zaidi.

Mwisho nikasema isiwe tabu kushabihiana ID kwa kiasi fulani ni jambo la kawaida, na mimi nikamtia moyo na kumtakia mafanikio mema juu ya shida yake.

Ki ukweli na mimi nilipata hangover kama ninyi emmyta na @Nleterewa Nganengo
 
Huko hamna?
Siwapendagiiiiii watu kama nyieee
Kuponda wadada wanaotafuta humu huku kutwaa unachungulia humu
Kama si kupungukiwa Hekima nini
Ndio Kaja kutafutia humu.Wewe kinakuuma niniiiiiiiiii
Ndio huko hamna ndoana kajaaa
 
Back
Top Bottom